Ulimwengu wa Magharibi na Utandawazi

Kutoka katika  chuo kikuu cha Ankara Yıldırım Beyazit kitengo cha  siasa Daktari Kudret BÜLBÜL anatuleta tathmini

Ulimwengu wa Magharibi na Utandawazi

Mwanzoni mwa miaka 1990, kipindi ambapo nilikuwa  bado sijawa na umri mkubwa  na msomi  nilikuwa na kiwi kikubwa cha kutaka  kuelewa  ni nini maana ya utandawazi.  Nilijiuliza pia  harakati hizo ni vipi zinaweza kuathiri pia Uturuki ni mwenendo upi Uturuki inatakiwa  kuchukuwa dhidi ya utandawazi ? ni yapi tunatakiwa kufuata na ni yapi  inatakiwa kupuuza ?

Ulimwengu wa Maghribi wajitenga huku  mataifa mengine yawa kitu kimoja.

Kutoka katika  chuo kikuu cha Ankara Yıldırım Beyazit kitengo cha  siasa Daktari Kudret BÜLBÜL anatuleta tathmini

Utafiti huo nilifanya katika  kazi yangu  katika udhamili, utafiti ambao  ulikuwa sambamba na  kazi .  nilikuwa likikaribia  katika toleo la utandawazi , toleo hilo lingekuwa na umuhimu  kwa walimwengu. 

Ila wakati nilipomaliza  kupeperusha kazi yangu  ambayo ilitoka kwa jina la : « Ugumu na ridhaa na utandawazi na Uturuki» . Utandawazi ni jambo ambalo lazima  lifahamike kuwa sio la mtazamo mmoja ni jambo ambalo linafungamana na mitazamo tofauti, jambo ambalo  halina kamwe tafsiri moja kunakojambo ambalo khuangaziwa.

Mtazamo wa sasa wa utandawazi

Kipindi ambacho nilianza kufanya kazi na utafiti wangu, Magharibi  ilikuwa tayari ikiongoza kwa utandawazi. Kulikuwa na soko huria na ubadilishanaji wa bidhaa ulikuwa  hauna mipaka , mipaka ya kisiasa ilikuwa  haina muelekeo na kupoteza mwenendo wake.

Kulikuwa kumeondolewa ushindani, ushirikiano, na forodha ilikuwa moja  ya  dhana  ambazo zilikuwa zimepewa umuhimu.  Mashirika ya kimataifa  yalikuwa yakitaraji kuwepo kwa  ulimwengu ulio na uwazi, wenye ushindani na uwazi bila ya mfumo wa ambao ungeonekana kuwa wa kştaifa na kulinda mipaka katika bidhaa na utandawazi.  

Kwa upnade mmoja au mwingine, mataifa ya ulimwengu wa tatu na mataifa ambayo yanaelekea katika maendeleo yalisimama pamoja kupinga utandawazi.

Kulingana na mataifa hayo utandawazi ulikuwa kwa maslahi ya mataifa ya Magharibi pekee. Kwa mujibu na mtazamo wa mataifa hayo, soko huria, kundoolewa kwa masharti katika forodha na uchukuzi  ikiwemo pia  kuondolewa kwa ushindani  katika ushirikiano ni wazi kuwa ilikuwa ni kwa ajili ya maslahi ya Magharibi na mashirika yake ambayo yalionekana  kunufaika kwa kiasi kikubwa.

Kutokana na mfumo huo basi mataifa hayo yangejikuta yamekuwa  dhaifu na kutokuwa na ushindani katika utandawazi kama ivyofahamishwa.

Katika ngazi za kiitikadi, tunaamini kuwa utandawazi ilikuwa  kama mfumo mpya wa  ukadari ambayo unaambatana na maslahi pekeeç mfumo huo  ni  kutumia nguvu zisizokuwa milk yako kufikia malengo na kudhoofisha mataifa mengine.

Hali hiyo ilikuwa  ikipingwa  kwa kutetea mataifa ambayo  hayakuwa na kimbilio  dhidi ya utandawazi ambao ulikuwa tayari ukiwaelemea na ubepari. Mmenyuko  ulionekana kurudi nyuma. Ikiwa utandawazi  ni toleo jipya la ubepari  hsatujiulizi  vipi tunaweza  kuzuia  toleo jipya hilo  na mfumo wa zamani wa ubepari.

Hali halisi

Tukiwa tunaelekea mwaka 2020,  baada ya miaka 30  tunaweza kushuhudia  ni kiasi gani  kiwango cha ghofu  kimeongezeka   wakati uliopita hususani katika miaka ya 90.

Kwa kipindi tulichonacho kwas asa  hakuna ushindi wa utandawazi wa Magharibi.  Mataifa ambayo yameshinda ni mataifa ya Magharibi. Mataifa ya Magharibi  na hususani Marekani   inatetea jibu la muda  la mataifa ambayo  yalikuwa katika mataifa yaliokuwa  yakimudu katika miaka ya 90 kwa kulikuwa hakujawa na uwezo wa kujibua yakutosha katika utandawazi.

Haikuwahi kuzungumza kuhusu kuondolewa kwa vikwazo vya mipaka kisiasa, uhuru wa kusafiri, ushindani na soko huria. Marekani imeondoa uwekezaji wake ugenini na kuweka vizuizi  katika forodha  dhidi ya mataifa yote  ambayo yalitajwa  au kuonekana kuwa yalikuwa yakipinga  mfumo wa utandawazi.

Ni nani ambae angeweza kufikiri kuwa  katika miaka ya 90 mataifa ya  Umoja wa Ulaya  yangeweza kunnda  kunda jjeshi la watu 10 000 kwa kulinda mipaka  ya kisiasa  dhidi ya uhamiaji ambao umeongezeka ?

Marekani na mataifa ya Umoja wa Ulaya   kwas asa yanarejea katika mfumo wa kisiasa ambao ni wa sera za kitaifa.

 Mataigfa mabyo u-yamekuwa na  maslahi katika  harakati  na mfumo wa utandawazi ndio mataifa yaliokuwa  mataifa mbayo uchumi wake ulikuwa ukielekea katika atua ya maendeleo katika miaka 90.

 China, India, Brazil  ikiwemo pia Uturuki   ziepiga atua katika mabadiliko hayo.  Kwa sasa tunashuhudia ushawishi wa China  uliwenguni dhidi ya Magharibi.  Uturuki  imeingia katika uga wa  utandawazi baada ya miaka ya 2000.

İngia katika ushirikiano wa kimataifa. Imevuka  kiwango cha demokrasia na uhuru.  Uchumi  wake pia umepiga atua  hadi utawala  kupiga kuwa huru  katika sekta ya uchumi na kufikia katika maendeleo.

Kiwango cha kipato  zaidi ya dola 2000 kiliongezeka mara kadhaa.  Moja miongoni  ni sababu za  mvutano katika  ushirikiano kati ya Uturuki na Magharibi ni Uturuki  kuwa na  uchumi ambao sio tegemezi na kuonekana kuzidi kuimarika .

Mmenyuko wetu ni wa kihistoria

Kwa sasa tumejaribu kufafanunua kwa ushirikiano na wasomi  Uturuki na Magharibi kutaka kuelewa  utandawazi katika kipindi cha miaka 30 katika mataifa   na jamii ambazo sio za  utamaduni wa Magharibi. Wasomi hao wanaendelea  kufanya utafiti  katika nyaraka na vitabu vilivyoandikwa tangu miaka ya 1990. Ili kuendelea kunufaika  na kujştekegemea kumeonekana kurejea katika mfumo ambao ni wa kitaifa ambao  unahusika na kulinda bidhaa za ndani  na kuzuia bidhaa nyingine kutoka nje.

Leo kufunguliwa kwa mipaka, mfumo wa soko huru,  mzungumzo wa kiwango cha uwekezaji na  mştaji katika mataifa ya Maghribi na sasa inashuhudiwa faida yake katika  mataifa ambayo yametajwa  awali katika utandawazi.  Sio jambo la kushangaza , tunashuhudia kuwa sio mataifa yote  ambayo yanaelekea katika maendeleo yamenufaika  kwa namna moja katika  jitihada za utandawazi. Kuna uwezekano kuwa mataifa ambayo   ni hatari kuliko  mchakato huo wa  utandawazi.

Mataifa yote ambayo yanafahamika kuwa mataifa ambayo yanaelekea katika maendeleo hayakupata maslahi kwa namna moja.  Kuna mataifa mbayo yalipata hasara katika mmenyuko huo.  Hali hiyo ilitokea kwa kuwa sio  mabadiliko ambayo  yanatoa  fursa za aina moja kwa mataifa yote.

Kile ambacho najaribu  kufafanua  ni kwamba  mchakato huo  hasababishi tu faidi au hasara kwa taifa lolote ikiwemo pia katika ulimwengu wa Magharibi ikiwa tutaendelea  kuwa na mwenendo usiofaa ndio maana kuna umuhimu kuwa ufafanuzi na kuchambua kuliko kuchukulia jambo kwa ujumla bila ya kulichambua. 

Kuna usemi usemao kuwa jua lililowaka jana haliwezi kamwe kukausha nguo za leo. Masomi  na viongozi wasiokuwa wa mMagharibi  wanatakiwa kuşshi katika maendeleo  yaliopatikana  katika kipindi cha miaka 30 iliopita. Katika kipindi ambacho taarifa huaharibika  kwa muda mfupi, tunatakiwa kufahamu kuwa  ujuzi wa jana au ujuzi uliopita hautoshi  kufafanua  wakati tulionao. 

Katika kipindi cha utatandawazi  ambacho kinafafanuliwa na  upanuzi, umahiri,  mabadiliko na athari zake. Mchakato wa kimara na  usiotumika  hauwezi kuelezea wakati ujao, wala hata wakati  wa sasa.

Kutoka katika  chuo kikuu cha Ankara Yıldırım Beyazit kitengo cha  siasa Daktari Kudret BÜLBÜL Habari Zinazohusiana