Rais Putin hatompokea kamanda wa jeshi la Israel  Moscow

Rais wa Urusi Vladimir Putin hatompokea  kamanda wa jeshi la Israel   katika ziara yake nchini Urusi

Rais Putin hatompokea kamanda wa jeshi la Israel  Moscow

Vladimir Putin  hatompokea kamanda wa jeshi la Israel ambae amewasili  mjini Moscow  akiwa na tume  ya jeshi la Israel.

Kamanda wa jeshi la anga la Israel Amikam Norkin  amewasili Alkhamis mjini Moscow. Kulingana na taarifa kutoka ikulu, rais Putin hatompokea kamanda huyo.

Kituo cha rungina cha Russia Today kimemnukuu msemaji wa ikulu Dmitri Peskov  akifahamisha kuwa  kamanda huyo wa jeshi la Israel  na tume anayoshirikiano nayo katika ziara hiyo Urusi ni kwa ajili ya  kufikisha  matokeo baada ya uchunguzi uliofanyika baada ya  ndege ya kivita ya Urusi Il-20 kushambuliwa na kudunguliwa nchini Syria.

Wizara ya ulinzi ya Urusi ilitangaza Jumatatu kuwa  watu 15 walifariki katika ndege iliodunguliwa na mfumo wa kujihami wa anga wa jeshi la Syria.Habari Zinazohusiana