Mapokezi na hifadhi kwa wakimbizi kutoka Syria Uturuki
Kutoka katika shirika la utafiti wa kisiasa, uchumi na jamii SETA, Can ACUN

Mapokezi na hifadhi kwa wakimbizi kutoka Syria Uturuki yalikuwa ya namna yake.
Rais wa Uturuki Recep Tayyıp Erdoğan na rais wa Urusi Vladimir Putin walifanya mkutano na waandishi wa habari baada ya mkutano wao uliofanyika mjini Sochi nchini nchini Urusi.
Viongozi hao wawili walitoa tamko moja kuhusu jimbo la Idlib na kuonesha kuwa msimamo mmoja wa eneo salama nchini Syria. Kwa ufupi tunaweza kusema kuwa waziri wa ulinzi Urusi alifahamisha muda mchache baadae kuwa operesheni dhidi ya Idlib ilimesitishwa.
Kutoka katika shirika la utafiti wa kisiasa, uchumi na jamii SETA, Can ACUN anatufafanulia.
Uturuki imejiwekea heshima kuwa juhudi zake za kuasaka amnai Syria na makubalaino yaliosaniwa kati yake na Urusi kuhusu Idlib.
Uamuzi wa rais wa Uturuki Recep Tayyıp Erdoğan umepelekea maafikiano na kusitisha mapigano Idlib na Iran pia kukubaliana na makubaliano hayo licha ya kuwa Iran haikushiriki katika mazungumzo yaliofikia kusitishwa mapigano.
Katika siku za nyuma jeshi la Uturuki limeimarisha usalama na ulinzi Idlib. Magari ya kivita ya jeshi la Uturuki yalipelkwa katika vituo 12 mbavyo wajibu wake ni kulinda usalama Idlib na kuhakikisha ya kwamba makubaliano yanaheshimishwa.
Urusi inashirikiano na Uturuki na huku makundi ya wapiganaji wa kishia yanaungwa mkono na Iran, Kwa upande mmoja auu mwingine, mazungumzo ya kidiplomasia na mikakati ya hatua za kijeshi zimepelekea kufikia katika hali iliofikiwa Syria.
Urusi imeonekana kuridhishwa na pendekezo la Uturuki katika mkutano uliofanyika Sochi kati ya rais wa Uturuki na rais wa Urusi Vladimir Putin. Urusi , Iran na jeshi la Assad zilikuwa mbioni kutaka kuendesha mashambulizi dhidi ya Idlib.
Kulikuwa na shinikizo kubwa kuhusu hilo. Kulikuwa pia na mashambulizi Kaskazini mwa Homs, jeshi la serikali kwa ushirikiano na makundi ya wapiganaji ambao wanaungwa mkono na Iran.
Operesheni na kusaka amani Syria ni waibu wa Uturuki kutoa mchango wake . Uturuki haiwezi kamwe kuwaweka raia zaidi ya milioni 3 katika hali ya hatari kwa kuwasababishia kuondoaka katika makaazi yao.
Operesheni iwao ingeaznishwa basi wakimbizi wangelazimika kuingia nchini Uturuki na kufanya idadi kuzidi kuongezeka.
Kuna umuhimu mkubwa kumpongeza rais wa Uturuki Recep Tayyıp Erdoğan , jeshi la Uturuki na Polisi ya upelelezi kwa matokeo ya Idlib. Uhatari mkubwa umeepushwa wakati ambapo ulimwengun mzima ulikuwa ukishuhudia ni kipi kilichokuwa kikiendelea.
Katika mazungumzo kati ya rais wa Uturuki na Urusi mjini Sochi kuna umuhimu pia kukumusha kuwa maafikiano kuhusu makundi yenye misimamo mikali kuweka silaha chini na kuondoa sialaha mikononi mwa wapiganaji.
Kutokana na hali hiyo , viongozi hao wanawajibu mkubwa. Urusi ilikuwa na wajibu wa kushinikiza makundi ya wapiganaji kuweka silaha chini katika eneo hilo.
Kutokana na masuala hayo, Uturuki na Urusi ni mataifa mbayo yameoneakna kuwa na mchango mkubwa.
Taifa moja lilikuwa na wajibu wa kukinaisha wapiganaji katika ukanda huku Uturuki nayo ikiwa na wajibu wake kuhusu amani ya kudumu nchini Syria.
Uturuki na Urusi kwa ushirikiano katika eneo la kilomita 15 hadi 20 kunatakiwa kuwa na usalama baada ya kusainiwa makubalaino. Eneo hilo lştakuwa likilindiwa usalama kwa ushirikiano kati ya jeshi la Urusi na jeshi la Uturuki.
Makubaliano ya Astana yamepelekea Uturuki na Urusi kukubaliano masuala tofauti ambayo yanahusu usalama Syria na ushirikiano.
Makubaliano hayo ni pamoja na eneo ambalo kunapatikana wapinzani wa serikali ya Syria, makubaliano hayo ni kuzuia mashambulizi na operesheni ya aina yeyote ile.
Barabara ya M4 na M5 na umuhimu wake wa kimkakati zinalindiwa usalama na kuhakikisha ya kwamba uchukuzi katika sekta ya biashara.
Barabara hizo zina umuhimu mkubwa katika sekta ya uchumi kuelekea Damascus.
Ushirikiano kati ya Uturuki na Urusi baada ya mvutano wa kidiplomasia umeonesha ni kiasi gani operesheni dhidi ya ugaidi .
Magaidi wa kundi la PKK na tawi lake la YPG walikuwa na lengo la kutaka kwa mara nyingine kuashambulia na kuliteka jimbo la Afrin kama kungeanzishwa operesheni Idlib.
Tishio hilo limedhibitiwa na jeshi la Uturuki na serikali ya ushirikiano na Urusi. Operesheni ya Idlib ilikuwa kama mtego ambao ulikuwa ukitegemewa na magaidi wa kundi la PKK kama fursa kwao.
Kutoka katika shirika la utafiti wa kisiasa, uchumi na jamii SETA, Can ACUN