Kanuni za kimataifa za elimu

Kutoka katika  chuo kikuu cha Ankara Yıldırım Beyazit , kitivo cha siasa Daktari Kudret BÜLBÜL anatufafanulia

Kanuni za kimataifa za elimu

Tukiwa kama wanadamu tunaishi katika sayari moja. Licha ya kuwa na utofauti katika   tamaduni zetu , tuna vitu vingingi ambavyo tunachangia , jambo ambalo tunatakiwa  kufahamu ni kwamba tunaishi katika wakati mmoja a na kuwa katika  historia moja.  Tunaishi tukiwa na imani tofauti, lugha tofauti,  jamii tofauti na bila kuweka kando  kinasaba.

Licha ya kuwa katika kipindi kimaoja ambacho tunaishi kunakuwa pia na  ushawishi  baina yetu kwa watu ambao wanaishi jirani au kwa pamoja. Ushawishi huo  ni katika ujuzi, utamaduni na maisha ya kila siku.  Katika ushawishi huo tunatakiwa kujuliza kuwa  ushawishi huo   unatoa fursa ipi kwa utamaduni ulioachwa na mababu zetu  waliotutangulia.

Kutoka katika  chuo kikuu cha Ankara Yıldırım Beyazit , kitivo cha siasa Daktari Kudret BÜLBÜL anatufafanulia mada yetu ya leo

 Tunajaribu kuzungumzia kuhusu elimu.  Hatuzungumzii tu kuhusu elimu katika taifa letu bali katika mataifa yalio mbali nasi pia.  Watu walio na elimu na wale wasi wasiokua na elimu wote wanamchango  na uwezo wa kuyabasdilisha maisha yetu.

Mtu ambae  ana eleimu ndogo anaweza kuwa kama bomu na kuweka mbali na maisha ya  ushirikiano na wanafamilia.

Matunda ya mtu ambae alipewa elimu ambayo na manufaa  ana umuhşmu mkubwa katika jamii kwa mchango wenye manufaa na kurahisisha maisha.  Kutokana na hilo tunaweza kusema kwamba  elimu ina umuhimu  mkubwa  na  matunda yake  ni kwa kila ambae atakuwa akşhitaji matunda hayo. Iwapo elimu itatolewa kinyume na vibaya hadi kuplekea isiwe na faida yeyote ile badi madhara yake sio tu kwa taifa hilo  bali  na mataifa mengine jirani.

Tumefikia katika hatua ipi kunako elimu ulimwenguni?

Ndio, tunafahamu fika kuwa na  maeneı yalio  mazuri. Ila katika makala yetu nitakuvuteni  upande ambao  ni asi katika makala.

Magharibi, katika shule tofauti nchini Marekani  kunatokea matukio abayo si ya kuridhisha ikiambatana na mauaji.

Matukio hayo yanaripotiwa kutoka mara dufu  zaidi ya matukio kama hayo katika maeneo mengine ulimwenguni. Wapo wale ambao  huwashambulia watoto na kuwatoa uhai bila ya kujali kuwa nai wanafunzi wenzi na marafiki shuleni.

Vitendo vya  ngono, michezo, matumizi ya mihadarati na vilive tofauti  kwa wanafunzi wakiwa katika  umri mdogo, familia ambazo zimeachanishwa, watoto wa mitaani na matatizo mengine  ambapo tunaweza kusema kuwa watu wazima ambao wanjipata katika kipindi kigumu ambacho hua hawana wakati wa likizo kutokana na ugumu wa maisha.

Hali  hiyo sio tofauti na Mashariki.  Licha ya kuwa  matendo ya uhalifu   hayapo katika hatuo ya kukithiri  kama ilivyo katika baadhi ya mataifa ya Magharibi, hakuna wasomi kama walivyo wa Magharibi, hawana uhuru wa kufikiri na mawazo huru ambao elimu yao ni ya elimu ambayo wanatakiwa kuhifadhi  wakati mwingine hata bila kuelewa. Mfumo wa elimu unaathirika.

Katika ulimwengu wa kiislamu,  tatizo  kubwa ambalo lilizungumzia na Aliya İzzet Begoviç ni elimu.

İwapo  kutakosekana  ubora wa elimu katika mfumo au laa katika taifa lolote lile bila shaka tutaelewa  ni aina ya watu gani  wenye nenda zipi  kulingana na imani,  lugha, mtazamo, fikra na utaofauti katika jamii.

Hali hiyo inaonesha kuwa tupo katika hali ya hatari binadamu wote kwa pamoja. Kuntakiwa kuwa na kanuni za elimu ambazo zitapelekea ulimwengu kuwa na ushirikiano na matumaini.  Tunaweza kufikia katika malengo kwa kuanza  utafiti  wa kanuni  na kujiuliza  malengo ya elimu.

Lengo la mafunzo  linatakiwa  kutaarisha  watu  ambao watakuwa na  mchango  katika maisha.

Tunatakiwa kuisha katika falsafa ilio sambamba na maisha yetu ya kila siku. Malengo ya elimu ni kumtaaarisha mtu na masha. Elimu  bora  tunayotafuta inategemea na malengo na mtazmo tulionao katika maisha yetu ya kila siku ni kipi ambacho tunataraji kukifikia.  Falsafa tulionayo katika elimu  inatakiwa kwemnda sambamba na maisha tunayoishi. Iwapo tutakuwa  tukitenda haki basi  maavu hayatokuwa na nafasi katika maisha yetu kwa elimu tuliopata hairuhus hata mara moa kutenda maovu.

Elimu inamfanya binadamu hueshimu utoafauti   na sio haki kwa tabaka fulani huku tabaki lingine likiwa katikaa hali isioridhisha. Elimu inatakiwa kuwa chombo cha mabadiliko yalio na manufaa kwa raia na kufikia katika malengo.  Tunatakiwa kufahamu pia kuwa elimu na mafunzo sio tu  kupitia shule  za kisasa na nido maana shule sio ndio njia pekee  ambayo inafanya mtu kufikia malengo yake. İla elimu ni miongoni mwa njia ambazo zinamfanya mtu kufikia malengo yake yake aliojiwekea katika maisha.

Iwapo tutakuwa tukitumia kwa pamoja na kunekana tukishiriakaina katika maisha yetu ya kila siku kama mafunzo yanavyaofundisha  kwa lengo moja  kama ilivyofahamisha hapo awali, binadamu ulimwenguni kama kitu kimoja  tunaweza kuwa na mfumo mmoja wa elimu na kuwa na munufaa kwa kila mmoja wetu na kuheshimu utofauti  baina yetu. 

Kanuni hizo zinaweza kuwa zipi?

  1. Elimu bora inayofunza ueleo wa haki 

Iwe wakati wowote tunaoishi iwe katika kştamaduni, kisasa, baada ya ya wakati wa sasa au wakati  wowote ambao utafafanuliwa kwa namna nyingine, iwe ufafanunuzi tuliojipa wenyewe, elimu bora natakiwa katika hatua yake ya kwanza kuwa  elimu inayotetea haki. Kama inavyofundisha Omar Ibn al Khaattab " Usawa ndio ngoa ya  utulivu katika mfumo wa utawala".  

Kwa mujibu wa mtunzi kutoka nchini Ujerumani ambae anatambulika kwa jina la Kant «  iwapo haki itaondolewa , hakuna kitakachasalia  ambacho kita mpta mwanadamu thamani yake ». tunatakiw kwanza kuheshimu haki, uhuru na usawa kwa kila jambo.  Ndio hutukubaliani sote kwa kile ambacho ni sawa na haki  na kile ambacho tunaona kuwa sio haki. 

Nguzo za  haki   hazifahamiki kama inavyostahili na kila mmoja wetu.  Imani zote  na mitazamo  zinafundisha kuwa kuondoa uhai sio ambo  jema , kuchukuwa mali isiokuwa milki yako, kuiba bali kutafuta kwa njia zilizo za haki na halali zinazoheshimu sheria na kujiepusha na mwenendo usiostahili.  Katika mukhtadha huo,  jambo la kwanzo ambalo tunatakiwa kuwafunza wanafunzi wetu  wa kila rika ni kushinda kwa kutumia jasho lako kwa njia silizosahihi na sio kwa njia ambazo ni kinyume cha sheria. Na kupata kwa njia ambazo ni za haki.  Iwapo tutafanya hivyo basi tutakuwa tumejaribu kufunza  sheria na kuheshimisha haki kwa kila mmoja wetu.

Tujaribu  kufikiri kuwa kila mtu anataka kufaulu au kujikusanyia utajiri bila ya kufanya kazi ni yapi yatakuwa matokeo yake . bila kuheshimu sheria bila shaka matokeo yake yatakuwa ni mabaya.

Ujuzi, tabia na nyendo zetu ni mambo ambayo tunaweza kujikosoa na kuwa watu wema bila ya kuchelewa.  Ila jambp ambalo linatufanya kushindwa ni  kutokuwa na imani ya haki na kuwa na tamaa ya kupata utajiri bla ya  kustahili kwa njia zisizofaa.

Kuheshimu haki  hakuambatani na  kila ambacho tulisoma  tangu tupo shule ya msingi  aum chuo bali  mfumo wa elimu tuliopewa, mwenendo wa mwalimu na matendo yake. Kwa hali hiyo tunatakiwa kuwa wenye kutetea haki na usawa  kadri inavyostahili,  kwa njia ya imani na sio kwa ujuzi tulionao. Tunatakiwa kupinga dhulma na unyanyasaji na kutambua  ni madhara gani ambayo yangesababishwa kutokana na jambo hilo.

2. Mwalimu anaetoa  mafunzo mazuri huwa anampa mwanadamu  mtazamom uliochanya na matumaini.

Mwalimu  anatakiwa kuwa  mtu ambae  anamfanya mwanafunzi wake kuwa  mtu mzuri katika jamii na wa kupigiwa mfano kila anapokwenda. Mwanafunzi anatakiwa kuwa kio cha mwalimu na mafunzo aliopewa.  Tunawashuhudia wanafunzi ambao wazungumza kuhusu ugumu uliojitokeza na sio suluhu la tatizo ambalo linatakiwa kupatiwa ufumbuzi.

Wanafunzi hupoteza matumaini jambo ambalo sio sawa katika maisha. Iwapo utakuwa badou po hai , kupoteza matumaini ni jambo ambalo halistahili hata mara moja kuweka katika kali ya binadamu. Kivipi maisha kama hayo  yanaweza kustahamiliwa ? ni uzuri gan iwa jambo ambalo litaundwa  kwa mtazamo ulio asi ?

Binadamu anatakiwa kuangalia  kwa mtazamo chanya ili aweza kutatua tatizo kwa njia inayostahili. Tunafahamu kuwa mazuri na mema ni tofauti kulingana na tamaduni au imani.  Ila katika maisha tulionayo  tunastahili kuwa tukiangalia kwa mtazamo uliokuwa na matumaini, kuna umhuimu mkubwa  kulenga  mafunzo mema kwa watu walio wema.  Kuwa na mtazamo chanya katika maisha ni  jukumu  la kwanza kwa kila binadamu na kuifanya nafsi kuwa amani, kuwa na amani na jamii unayoishi na watu wanaokuzunguka.

Kutoka katika  chuo kikuu cha Ankara Yıldırım Beyazit , kitivo cha siasa Daktari Kudret BÜLBÜL


Tagi: usawa , sharia , haki , elimu

Habari Zinazohusiana