VECİHİ HÜRKUŞ NA NDEGE AINA YA HÜRKUŞ

VECİHİ HÜRKUŞ NA NDEGE AINA YA HÜRKUŞ katika historia ya jeshi la Uturuki

VECİHİ HÜRKUŞ NA NDEGE AINA YA HÜRKUŞ

Manispaa ya jiji la Istanbul ndio mji wa kwanza kuandaa maonesho  na kuwa shirikisho la T3  ambalo linahusika na vifaa vya anga. Jiji la Istanbul linafahamika kwa kuandaa maonesho au tamasha la  vifaa vya anga na teknolojia ya kisasa, tamasha ambalo lilipewa jina la « TEKNOFEST ISTANBUL » . tamasha hilo mjini humo lilifanyika kuanzia Septemba  20 hadi Septemba 23.  Muakilishi wa shirika ambalo liliandaa tamasha hilo Selçuk Bayraktar amesema kuwa tamasha hilo lilikuwa namumuhimu mkubwa kwa Uturuki kutokana na kupiga hatua kubwa pia katika sekta ya teknolojia. Tamasha hilo ilikuwa ni pamoja na maonesho ya uwezo –wa vifaa hivyo, mashindano, mafunzo na  kazi za pamoja kwa ajili ya kutathimini  ahadi zilizotolewa kufaanikisha mradi huo.

Kutoka kwa Tarkan Zengin, mkurugenzi wa kituo cha mafunzo na ushirikiana wa wafanya kazi  Harb-İş…HÜRKUŞ  ilioneshwa katika tamasha hilo na kuonesha uwezo wake angani.  Vecihi Hürkuşni mtu ambae anafahamika vema   na kuwa na nafasi muhimu katika historia ya utengenezaji wa ndege  nchini Uturuki na  umuhimu wake kujitolea kuliinua taifa katika sekta hiyo.  Kumbukumbu ya Vecihi Hürkuş huja tu wakati ambapo  utaona Hürkuş. Picha ambazo zinamuonesha Vecihi Hürkuş akiwa bado kijana zinamuonesha kuwa alikuwa ni kşijana ambae alikuwa akijituma na kuwa mtu ambae alikuwa na matumaini kwa taifa lake, kwa ufupi ni mtu ambae alionesha mzalendo wake tangu akiwa na umri mdogo. Vecihi Hürkuş aliungwa mkono na serikali na kufungua fursa  kwa vijana ambao walikuwa na vipaji katika teknolojia.

Vecihi Hürkuş alizunguzia hali  kwa kusema kuwa  alikuwa akifahamu namna ya kuendesha  mafunzo ya pamoja  ugenini katika mataifa ambayo tayari yalikuwa mbioni  katika juhudi za mabadiliko katika utengenezaji wa ndege.  Jambao la kwanza ambalo alisema kuwa lilikuwa na umuhimu ni kupewa moja na taifa kwa kuungwa mkono, kuungwa kwake mkono  ndio kulimplekea katika mafaanikio ambayo pia yana manufaa makubwa kwa taifa zima.

Vecihi Hürkuş, jina langu la kinasabu  linastahili katika  anga la taifa langu. Vecihi Hürkuş aliendelea kusema kuwa  hali pekee ambayo ingelifanya taifa kuwa huru  ambayo nimejitolea ni kuunda vivya vyetu wenyewe na wale ambao wanataraji kuruka kwa kutumia mbao za wengine basi hawatofikia HÜRKUŞ. Na sasa tunashuhudia kuwa Uturuki imefikia hatua ya kuweza kuruka yenyewe bila ya utegemezi na ulinzi wake.

Vcihi Hürkuş alizaliwa mjini Istanbuli mwaka 1896, kijana huyo ambae niğ muhimu katika  historia ya Uturuki alifisha baba  yake akiwa bado na umri mdodo.  Hürkuş licha ya kuwa na umuhimu katika historia ya Uturuki katika vipandwa vya anga,  kijana huyo ni shujaa pia katika historia ilijwa na majunzi na unyonge.

Harakati zake nyingi zimelifanya taifa la Uturuki kuwa taifa tunaloshuhudia kwa leo. Kijana huyo alikuwa shujaa wa kwanza kuweza kudungua ndege ya maadui mwaka 1917 wakati alipokuwa katika uwanja wa mapambano eneo Caucasus.

 Ni mtu wa kwanza amabae aliweza  kuzlisha ndege  ambazo zilipewa jina lake.  Vile vile ni muanzishi wa chuo cha mafunzo ya urubani cha kwanza Uturuki ambacho  kilitoa mafunzo kwa rubani mwanamke wa kwanza.

Ni muanzilishi pia wa shule ya kwanza ndege za  abiria na uchukuzi. Shirika la kwanza ni Hürkuş Airlines. Vecihi Hürkuş alikuwa ruban iwa kwanza  ambae alikwua na uwezo wa kurusha aina 102  tafauti ya ndege za kivita na kiraia. Kati ya mwaka 1916 na mwaka 1967 alivunja rikodi kwa kutumia muda mwingi  ambao ulikadiriwa kuwa  masaa 1000 akiwa angani.  Alijitolea katika vita vya ukombozi.  Alirusha ndege ambazo  zilkabiliana na jeshi la anga la ugiriki. Hürkuş alipewa medali ya  ushindi na  baraza la bunge la Uturuki.

Vecihi Hürkuş  alitengeneza ndege yake ya kwanza  Vecihi K VI na kuruka kwa mara ya kwanza  mwaka 1925. Alikuwa kijana mdogo  mwenye umri wa miaka 29. Akiwa na juhudş kubwa alifaanikiwa kutengeneza ndege kwa uwezo abao alikuwa nao.

Kijana huyo alistahili kupongezwa kwa kazi kubwa aliofanya.  Kinyume chake ali hukumiwa kupunguziwa mshahara wake kwa sababu tu alikuwa akirusha ndege bila ya kupewa ruhusa. Aliwekwa chini  ya ulinzi kwa  muda wa siku 10. Aliondoka jeshini kwa kupewa adhabu.  Katika makala liotolewa mwaka 1925 « tulisahau kama tulikuwa wanajeshi , tulipinga sheria tuliowekewa ».  kituo kiliundwa  mwaka 1954.  Turkish Airlines  lifungua  kitengo cha  ukarabati wa ndege ambazo zilipata hitilafu.  Ndege zao kuruka zilizuiliwa bila ya sababu na mafaanikio yao kuzuiliwa.

Kwa kiasi cha miezi  mitatu, Vecihi Hürkuş  alijielekea na  Vecihi XIV katika duka la  mbao la Kadıköy.

Ilikuwa safari ya kwanza ya ndege mwaka 1930.  Aliomba kutoka katika ofisi za  waziri wa uchumi ili apewa shahada kwa ajili ya ndege yake.CHOMBO CHA KWANZA CHA ANGA CHA TAIFA : HÜRKUŞ

TUSAŞ (kitengo cha masuala   ya vifaa vya anga ) imeundwa kwa mara kwanza na Uturuki.  Mradi wa ndege  ya maufunzo katika kambi ya kizazi kipya  ulianza  Machi mwaka 2006 chini ya udhamini wa  naibu  mkurugenzi  wa  viwanda na ulinzi. Mradi huo  ulianzshwa kwa ajil. Ya kikidhi mahitaji  katika ya jeshi la anga na mafunzo na oda  kutoka katika soko la kimataifa.

Septemba 26 mwaka 2013 ulianzishwa  uzalishaji kwa ujumla wa HÜRKUŞ. Mkataba wa HÜRKUŞ ulisainiwa  Dis3emba 26 mwaka 2013.

HÜRKUŞ A ni tolea miongoni mwa  matoleo  yaliolazimisha  EASA na CS -23. Toleo la HÜRKUS B ni toleo ambalo lilifuatiwa na HÜRKUŞ –C ambyo ilikuwa haina  haja ya kutolewa mafunzo kwa marubani, operesheni za kawaida na uchunguzi kupiti anga  ulikuwa ukitumia kiwango cha  wastani cha fedha.

HÜRKUŞ, safari za majaribio  zilifaulu na zinatarajiwa kukabidhiwa jeshi ifikapo Novemba.  Baada ya kukabidhiwa kwa ndege ya kwanza  itafanyiwa uchunguzi  kwa kipindi cha miezi mitatu na marubani wa jeshi la Uturuki. Ndege 15 zitakabidhiwa jeshi  katika kipindi cha mieizi 6 ya kwanza ya mwaka 2019.

Taarifa mabzo zinatolewa na TAI kuhusu ndege ni kama ifuatavyo:  baada ya majaribio, uwezo wa ndege na uchunguzi wa kuhimili mabadilşko ya hali ya hewa yalfanyika na kuonesha matumaini. Uchunguzi huo ulifanyika kwa kuambatanisha ndege aina mbili tofauti.

Nyaraka zaidi ya 545 zilanzadaliwa ili kuagiza AESA, uongozi wa Ulaya unahusika na ndege  na kwa SHGM  mabo ni uongozi mkuu wa ndege za kiraia katika mradi huo.  Nyaraka zote muhimu za ukarabati na mfumo  wa ndege  tayari zimetaairshwa.KIPANDWA CHA KWANZA  NA RUHUSA YA EASA

Baada ya  juhudi zote , shahada ya  kipandwa cha anga TT 32  ya ndege ya maufunzo  katika ngome ya HÜRKUŞ ya kizazi kipya iliondolewa  kutokana SHGM Julai 11 mwaka 2016.  Siku hiyo hiyo shahada ya ruhusa ya EASA inatoa ruhusa kwa  kwa mataifa yote ya bara la Ulaya.

HÜRKUŞ ni ndege ya kwanza  ya Uturuki kuruhusiwa na uongoz wa masuala ya ndege Ulaya. Mafaanikio ya ngede ya HÜRKUŞ yana umuhimu mkubwa kwa Uturuki. Katika  uzito  na madhila ya miaka ya 1925 wakati ambapo  HÜRKUŞ alikuwa na umri wa miaka ya 29 alijitahidi  kuondoa vizuizi  vilivyokuepo.

Kutoka kwa Tarkan Zengin, mkurugenzi wa kituo cha mafunzo na ushirikiana wa wafanya kazi  Harb-İşHabari Zinazohusiana