Fursa na changamoto  baada ya mkutano wa Sochi kuhusu Idlib

Kutoka katika  shirika la utafiti wa kisiasa, kiuchumi na jamii SETA, Can ACUN ametuandalia tathmini ya   mada ya kipindi chetu

Fursa na changamoto  baada ya mkutano wa Sochi kuhusu Idlib

Mgogo na mzozo wa Idlib ni jambo ambalo limezungumziwa kwa muda mrefu katika vyombo vya habari vya kimataifa.  Jimbo hilo limezungumziwa na kutolewa kwa mapendekezo ya kufikia katika jawabu la kudumu.

Mazungumzo kuhusu amani na kusitishwa kwa mapigano  Syria yamefanyika pia mjini Sochi nchini Urusi. Kulikuwa na umuhimu mkubwa kuwalinda raia zaidi ya milioni 3,5 dhidi ya mashambulizi yaliokuwa yakiendelea na jeshi la Syria. Baada ya juhudi za Uturuki, kumeafikiwa makubaliano ambayo yameepusha operesheni ya aina yeyote ya vijeshi katika eneo hilo.

Kutoka katika  shirika la utafiti wa kisiasa, kiuchumi na jamii SETA, Can ACUN ametuandalia tathmini ya   mada ya kipindi chetu cha leo…

 Makubaliano yalioongozwa na kupendekezwa na Uturuki kuhusu Idlib kwa ajilli ya kusitisha mapigano na kulinda usalama yameafikiwa katika eneo la ukubwa wa kilomita 15 hadi kilomita 20 .

Makubaliano hayo yamesainiwa kati ya Uturuki na Urusi. Mataifa hayo yameafikia kuwepo kwa eneo salama Idlib ambalo hakuna mapigano. Wapinzani watapokonywa sialaha  nzito  na makundi  ya kigaidi bila shaka yataonddoka katika eneo hilo. 

Barabara kama M4 na M5  ambazo zinaunganisha  miji tofauti kama Damascus na Aleppo zmefunguliwa kwa ajili ya  kutoa huduma kwa raia.  Licha ya kuwa Uturuk na Ursıi zimekubaliana na kusaini mjini Sochi , kunaweza kutoa vipingamizi ambavyo vitaathiria amani na mazungumzo kati ya upinzani na utawala madarakani. 

Wapiganaji wa  kishia kutoka Iran  ndio kuzuizi cha kwanza kwa Urusi kufikia malengo yake Syria.  Kwa kuwa Iran haikushiriki katika mkutano wa Sochi ambapo rais wa Urusi na wa Uturuki walikutano jambo hilo  huenda ikwa kipingamizi cha kutekelezwa makubaliano hayo ya Sochi.

Iran na serikali ya Assad zimeonesha kuwa  zinaunga mkono mazungumzo yaliofanyika Sochi. Iran na Assad wanadai makubaliano hayo kuwa makubaliano  ambyo yatakuwa ni mfano na kuheshimishwa katika eneo hilo.

Hali ambayo unadhihirisha uwepo wa  mlipuko wa  mapigano, mazungumzo ya Sochi kuhusu Idlib yamezuia kurejea kwa wimbi la wakimbizi na kuepusha  mauaji . 

Jeshi la Syria lililkuwa mbioni kutaka kuendesha mashambulizi katika eneo hilo kwa  kuwa ndio eneo ambalo wapinzani walikuwa  wameweka  ngome zao na kuwa kama tishio.

Wapinzani walikimbilia katika eneo hilo.

Kuhusu Uturuki ni kwamba kuna umhuimu mkubwa kushirikiana hata baada ya mkutano wa Sochi kwa kuwa malengo yake ni amani ya kudumu kwa kuanza na hatua hiyo katika eneo ambalo kwa muda mrefu limekuwa likishambuliwa na raia kupoteza maisha, ilikuwa wajibu kwa Uturuki kuongeza juhudi ili kupatia suluhu hali iliokuwa ikiendelea Idlib.

Uturuki ilikuwa ikiunga mkono jeshi huru la Syria jambo ambalo litahitaji kwa mara nyingine mazungumzo kwa kuwa Iran  haikushiriki  katika mkutano wa Sochi japo ilisema kuwa inakubaliano na  matokeo ya mko-utano kati ya Urusi na Uturuki.

Serikali ya Assadahaikubaliano ushirikiano uliopo kati ya Uturuki na jeshi huru la Syria ambalo linachukuliwa kama kundi la kigaidi la utawala. Jambo linaonesha wazi kuwa mazungumzo yatakuwa na umuhimu ili kufikia katika suluhu.

Jeshi huru la Syria lina ushawishi mkubwa Idlib. Makubalino ya Sochi yaliosainiwa kati ya Uturuki na Urusi  matumaini ya mwisho ya amani Idlib. Urusi na Uturuki ndio nchi ambazo zimeafkiano kuhusu Idlib bila ya mshirika wao ambao wanachangia maslahi. Iran na Uturuki bado wanaelewa kuhusu hali inayoendelea nchini Syria hususani  katika jimbo la Idlib.

Makundi tofauti ambayo yanaonekana kuwa makundi yeny misimamo mikali  lazima yachunguzwe .

Tahrir al-Sham ni vuguvugu  ambalo limewekwa katika mstari wa kwanza na  huku kukufahamika vema kuwa  kuna makundş mengne yenye misimamo mikali. Tume maalumu kuhusu suala hilo lazima iendelee na mazungumzo ya kisiasa na kuteka nyoyo za raia kwa kurejesha amani  na baadae kuendesha mazungumzo. Tume hiyo haina budi  kuwa na msimamo wa kati bain aya upinzani na makundi yenye mitazamo tfauti ili  kufikia katika utulivu.

Ni jambo zuri kuona kuwa  hakuna taarşfa yeyote ambyo ilitolewa na vuguvugu hşlo baada ya mkutano wa Sochi. Tahrir al-Sham linaweza kukinaushwa kuondoka kat

Ka eneo hilo baada ya kupokonywa silaha. Baada ya makundi yameonekana kuwa na ushirikiano wa moja kwa moja na kundi la al Qaida kama kundi Hurraşidin. Kundi hilo limesema kuwa haltambui makubaliano ya Sochi.

Nchini Syria katika maeno ambayo   yapo chini ya wapinzani baaddhi ya maeneo hayo wanamambo wa kundi la kigaidi la PKK na tawi lake la YPG linajaribu kuendelea kuwelka ngome zake. Syria nayo  haina budi kuendesha operesheni dhiğdi ya ugaidi ili kuakikisha kuwa  hakuna vitisho vya kigaidi katika ardhi yake kama Uturuki ilivyofanya.

Bila shaka baada ya Idlib kuondolewa katika vitisho vya ugaidi , raia wataishi kwa usalama.


 Habari Zinazohusiana