Ukiukwaji wa Haki

Kutoka katika chuo kikuu cha Ankara Yıldırım Beyazit, kitengo cha  siasa Daktari Kudret BÜLBÜL anatufafanulia

Ukiukwaji wa Haki

Wiki iliopita kumefanyika mkutano wa 73 wa baraza la Umoja wa Matafa  mjini New York.  

Katika mkutano huo rais wa Uturuki Recep Tayyıp Erdoğan ameonesha msimamo wake  dhidi ya  kile ambacho limeonekana kuwa ni ubaguzi na rais wa Marekani Donald Trump. Rais wa Uturuki amezungumzia kuhusu utandawazi  na ushirikiano wa kimataifa.

Katika hotuba yake  amekumbusha kuwa  ulmwenguni ni mkubwa kuliko mataifa matano.  Hotuba ihiyo imeonesha kuwa rais  Erdoğan amekumbusha umuhimu wa kuheshimu sheria, muakilishi wa  New Zealand  Areen ameshiriki katika mkutano huo akiwa nam toto wake wa miezi mitatu. Tukio hilo  lilizungumziwa huku na kule.

Kutoka katika chuo kikuu cha Ankara Yıldırım Beyazit, kitengo cha  siasa Daktari Kudret BÜLBÜL anatufafanulia

 Katika makala yetu  ningependelea tuzungumzia kuhusu wito wa rais wa Uturuki Recep Tayyıp Erdoğan kuhusu sheria na kuheshimishwa kwake na sio kwa sio kwa viongozi katika kutano huo wa Umoja wa Mataifa.

Rais Erdoğan amekumbusha   kuhusu idara ya sheria na uongozi akifahamisha kuwa ni mfumo wa kitamaduni wa kiislamu na mapungufu  ulimwenguni. Rais Erdoğan amesema kuwa  katika ustaarabu    wetu kuna  kanununi za  kitamaduni ambazo zinajenga ushirikiano katika jamii katika taasisi  tofauti  kama sheria, utawala, serikali, uchumi na kuanuni nyingine  katika wizara ya sheria.

 Kanuni hizo ambazo  zğna umuhimu katika maisha yetu  zinavunjwa na kiukwa katika maeneo mengine ulimwenguni.  Nyendo hizo ni  miongoni mwa sababu zinazopelekea  ulimwengu mzima kuwa katika mfarakano na mizozo ya kisiasa, jamii na uchumi.

Tunatakiwa kushirikiana ili kufika katika usawa wa kisheria na kuheshimu  sheria. Kuna watu zaidi bilioni 6 na kuna tatizo.

İli kuelewa vema  sera za  rais wa Uturuki kuhusu  sheria,kuna umuhimu mkubwa kuangazia  mabadiliko na maadili ulimwengu wa Magharibi.

Baada ya vita vya pili vya dunia, Magharibi  ilichukua hatumu ya kutetea haki za binadamu ikiwa pamoja na uhuru na  haki sawa.  Jambo la kushangaza ni kwamba tunashuhudia  Magharibi  wahamaij na  waislamu wakibaguliwa na  kudhulumiwa haki zao. 

Baadhi ya wanasiasa wanasikika katika hotuba zao wakitoa manenı ambao yanaashiria ubaguzi na chuki dhidi ya wahamiaji na waislamu. Vyama vya  kibaguzi vinaonekana kendelea kujipatia nafasi katika ulimweng wa siasa  katika mataifa tofauti barani Ulaya.

Vyama hivyo vimeingia katika   mdahalo wa kisiasa na kuchangia hajo katika maamuzi.  Katika mataifa kadhaa barani Ulaya, baadhi ya vyama vya kisiasa haviwezi kupata  nafasi bila ya kuambatanisha suala la wakimbizi . 

Mataifa ya UMoja wa Ulaya  yanazungumzia suala la wakimbizi na wahamiaji wakitathmini na angazia  usalama  katika mipaka yao. Imefikia atua ya  ya kuunda jeshi la ulinzi katika mipaka. Uturuki ndio taifa pekee unajaribu kulinda utu kwa kutoa hifadhi kwa wakimbizi huku mataifa mengine yakiwa katika zoezi la kutaka kuzuia katika mipaka yake  wakimbizi kuingia.

İli kuelewa vema   kilichosisitizwa na rais wa Uturuki Recep Tayyıp Erdoğan ni kuhusu haki na usawa na kujadili kwa kina  mabadiliko na  thamani ya ubinadamu ulimwenguni kama inavyodaiwa na ulimwengui wa Magharibi tangu miaka iliopita. Baada ya vita vya pili vya dunia ,Ulimwengu wa Magharibi  umeshika hatamu ya kutetea haki za binadamu.

Ulimwengu wa magharibi umekuwa ukjinasibu kutetea haki za binadamu, usawa na haki muhimu kwa kila mtu.  Dhulma wanayotendewa waislamu na wahamiaji  katika mataifakadhaa barani Ulaya imekuwa kama jambo la kawaida.  Kumekuwa na hotuba zilizojawa na matamshi ya chuki na kibaguzi yamekuwa yakiskika kutoka kwa viongozi  ambao wana misimamo ya kibaguzi walioweza kuingia katika serikali.

Viongozi kama hao wamekuwa wakitoa mchango wao kwa kujenga hoja ambazo hutegemewa katika  katika baadhi ya mataifa ya Ulaya.  Katika mataifa ya Magharibi vyama vya upinzani katika kampeni zao huwa vikitumia  wakimbizi kama hombo chao cha kujikusanyia kura kwa kutangaza chuki dhidi ya wahamiaji.

Kampeni za uchgauzi huwa hazifanyiki bila ya kuzungumzia sauala hilo.  Mataifa ya Umoja wa Ulaya huzungumzia suala la wakimbizi na wahamiaji  tu kwa ajili ya usalma katika mipaka ya mataifa hayo.

Mataifa ya Umoja huo  yamekuwa yakilinda mipaka yao  . Uturuki ndio taifa pekee ambalo limejitolea kwa kiasi kikubwa kwa kuwasaidia wakimbizi kwa muda mrefu. Kama  tutawauliza watoto waliotupwa na  kuwaacha wateketee kwa unyama, jibu lake bila shaka itakuwa ni aibu kubwa kwa ulimwengu mzima.

Kutoka katika chuo kikuu cha Ankara Yıldırım Beyazit, kitengo cha  siasa Daktari Kudret BÜLBÜL ametufafanulia

 Habari Zinazohusiana