Kongamano la kimataifa la imam Maturidi

Kongamano la kimataifa la imam Maturidi kufanyika Otoba 25  hadi 27 mjini Ankara Uturuki

Kongamano la kimataifa la imam Maturidi

Kongamano la kimataifa la imam Maturidi kufanyika Otoba 25  hadi 27 mjini Ankara Uturuki.

Kongamano la kimataifa la imam Maturidi latarajiwa kuafanyika mjini  Ankara ifikapo Oktaba 25.

Kongamano hilo litafaanyika kwa muda wa siku tatu mjini Istanbul.

Kongamano hilo limeandaliwa   chini ya udhamini wa  shirikisho wa wabunge.

Katika  mashra huo, kutazungumziwa kuhusu athari zilizoachwa kama urithi na imam Maturidi ambae alikuwa msomi aliebobea katika ulimwengu wa kiislamu  tanga karne ya 10.

Athari hizo zinatolewa kama mafunzo na fikra. Mafunzo ya imamu huyo yalipelekea  kufikia katika utamaduni wa kiislamu na Uturuki kuundwa katika historia.

Lengo la kongamnao hilo ni kujadili na kujaribu kupatia suluhu matatizo yanayokabili ulimwengu wa kiislamu na juhudi za imam Abu Mansur al-Maturidi ambazo zilikuwa na  mchango mkubwa  katika historia ya uislamu.

Katika mkutano huo wasomi kutoka katika mataifa tofauti kama Marekani, Ujerumani, Kazakistani, Kirgizistani na Uzbekistani watashiriki kkatika kongamano hilo  linasubiriwa kufanyika mjini Ankara.

Wasomi 6 kutoka Uzbekistani, Uturuki wasomi 42, zaidi ya wasomi 48 watasiriki katika mkutano huo.

Tovuti rasmi imetaarishwa kwa ajili ya kongamano hilo 
"www.maturidi.org" .

Siku ya mwisho ya kongamano hilo kutafanyika mkutano na waandishi waandishi wa habari kwa lugha tofauti.

Kituruki, kiingereza, kirusi, kiarabu , kifaransa na kifarsi . kwa wale ambao  waaitaji kushiriki katika  mkutano huo wanaweza kujisajili kupitia tovuti www.maturidi.org kabla ya Oktoba 15 mwaka 2018.Habari Zinazohusiana