"Tume maalumu ya ushirikiano kuundwa  kwa ajili ya sakata la Khashoggi "

Tume maalumu ya ushirikiano kwa ajili ya sakata la mwanahabari wa Saudia iliopendekezwa na  Riyadh

"Tume maalumu ya ushirikiano kuundwa  kwa ajili ya sakata la Khashoggi "

Tume maalumu ya ushirikiano kwa ajili ya sakata la mwanahabari wa Saudia iliopendekezwa na  Riyadh.

Tume maalumu  ya ushirikiano  kwa ajili ya sakata la mwanahabari Jamal Khashoggi ambae hajulikani alipo tangu alipoonekana akiingia katika ubalozi mdogo wa Saudia mjini Istanbul.

Tume hiyo  ya ushirikiano itaundwa  baada ya kupendekezwa na Saudia kuhusu sakata la Jamal Khashoggi.

Msemaji wa ikulu mjini Ankara Ibrahim Kalın amesema kuwa pendekezo la Saudia kuhusu  kuundwa kwa  tume ya ushirikiano imekubaliwa kwa lengo la kuweka wazi kuhusu sakata la mwanahabari wa Saudia katika jarida la Washington Post.

Ibrahim Kalın amezungumzia kuhusu mwanahabari huyo ambae alionekana akiingia katika ubalozi mgodo wa Saudia Oktoba 2 mjini Istanbul.

Ibrahim Kalın amezungumzia pia pendekezo la Saudia kushirikiana na Uturuki ili kuweka bayana sakata la  Jamal Khashoggi.

Serikali ya Saudi ilikuwatayari imeruhusu uchunguzi katika ubalozi mdogo wa Saudia  mjini Istanbul.Habari Zinazohusiana