Trump atishia kuiadhibu Saudia iwapo itakuwa imehusika na kutoeka kwa Jamal Khashoggi

Rais wa Marekani Donald Trump aitishi adhabu kali Saudia iwapo ştakuwa imehusika na kutoeka kwa mwanahabari Jamal Khashoggi

Cemal.jpg
Trump.jpg

Rais wa Marekani Donald Trump aitishi adhabu kali Saudia iwapo ştakuwa imehusika na kutoeka kwa mwanahabari Jamal Khashoggi.

Donald Trump, rais wa Marekani aitishia Saudia adhabu kali iwapo itakuwa imehusika na kutoeka kwa mwanahabari wa jarida la Washington Post Jamal Khashoggi ambae  kwa mara ya mwisho alionekana akiingia katika ubalozi mdogo wa Saudia mjini Istanbul.

Ni siku 12 zimekwishapita bila ya taarifa yeyote inaonesha  uwepo wa Khashoggi.

Katika mahojiano  aliofanya katika kituo cha CBS News, rais Trump ameitishia adhabau kali Saudia iwapo itakuwa imehusikana na kutoeka kwa mwanahabari Khashoggi.

 

Katika mahojiano hayo, Trump amesikika akisema kuwa  huenda Saudia inahusika na kutoeka kwa mwanahabari huyo.Habari Zinazohusiana