Igor Dodon: Uturuki inatoa mchango mkubwa kuhakikisha usalama katika ukanda

Rais wa Moldova Igor Dodon  asema kuwa  Uturuki inatoa mchango mkubwa kuhakikisha usalama na utulivu katika ukanda

Igor Dodon: Uturuki inatoa mchango mkubwa kuhakikisha usalama katika ukanda

Rais wa Moldova Igor Dodon  asema kuwa  Uturuki inatoa mchango mkubwa kuhakikisha usalama na utulivu katika ukanda

Igor Dodon , rais wa Moldova asema kuwa Uturuki inatoa mchango mkubwa katika kukakisha usalama na utulivu katika ukanda .

Hayo rais wa Moldova ameyazungumza katika  mkutano na waandishi wa habari akishirikiana na rais Erdoğan.

Mkutano huo na wandishi wa habari umefanyika Alkhamis ikiwa ni siku ya pili ya ziara ya rais Erdoğan nchini Moldova.

Rais  wa Moldova amesema kuwa maeneo tofauti Kusini mwa Moldova , utulivu na umerejea kwa ushirikiano pia wa Uturuki. Rais wa Uturuki amefanya ziata nchini humo kwa ajili ya kuimarisha ushirikiano kati ya mataifa hayo mawili.

 Habari Zinazohusiana