Uchambuzi wa Matukio

Uchambuzi kuhusu sakata la Jamal Khashoggi kutoka katika kitengo cha utafiti wa kisiasa, uchumi na jamii SETA chini  ya usiamamizi wa Can ACUN

Uchambuzi wa Matukio

Uchambuzi kutoka katika kitengo cha utafiti wa kisiasa, uchumi na jamii SETA chini  ya usiamamizi wa Can ACUN 

Jamal Khashoggi ni mwanahabari ambae tangu Oktoba 2 Hakuna taarifa ambazo zilionesha kuwa mwanahabari huyo yupo hai.

Mwanahabari huyo alikuwa akitumikia jarida la Washington Post la Marekani. Jamal kwa mara  ya mwisho alionekana akiingia katika ubalozi mgodo wa Saudia mjini Istanbul. Alionekana katika picha kuwa alikuwa pamoja na mchumba wake Hatice Cengiz.

 Katika sakati la mwanahabari huyo Jamal Khashoggi, sakata hilo limefuatiliwa kwa kiasi kikubwa na ulimwengu mzima.  Serikali na uongozi wa Saudia  ulikuwa umekanusha kuhusu kuuawa kwa mwanahabari huyo na baadae kuthibitisha baada  ya  uongozi wa Uturuki kuahidi kutuo ushahidi kuhusu kuuawa kwa manahabari hayo  kwa waandishi wa habari.

Saudia ilikiri kuwa Jamal Khashoggi aliuawa katika ubalozi  mdogo huo wa Saudia mjini Istanbul

Hapo mwanzo Saudia alikuwa ikidai kuwa Jamal Khashoggi aliondoka katika ubalozi baada ya kumaliza shughuli zake ila jambo ambalo lilipelekea maswali ni wakati ambao kuliombwa ushahidi wa picha  au video zinazothibitisha kuondoka kwake katika ubalozi mdogo wa Saudia. 

Watu 15 walinngia nchini Uturuki kama watalii na siku hiyo hiyo kutokea sakata hilo ambapo  jeshi la polisi la Uturuki liwatilia mashaka watu hao.

Watu hao  15 walikamatwa  na wengine watatu pia waliokuwa wakifanya kazi katika ubalozi mdogo wa Suadi mjini Istanbul. Watu hao wanashukiwa na Uturuki kuhusika na kifo cham all Khaashoggi.

 Mazungumzo kwa njia ya simu kati ya rais wa Uturyuki Recep Tayyıp Erdoğan na mfalme wa Saudia Salman baada ya tukio hilo, viongozi hao waliahidi kushirikiana kuhakikisha kuwa ukweli kuhusu sakata hilo unawekwa bayana na wahusika kufikishwa mbele ya vyombo vya sheria .

Rais Erdoağan alisema kwamba bila shaka Jamal Khashoggi aliuawa na  mauji hayo yalikuwayamepangwa.

Suadia alikama kuwa mwanahabari hayo hajauawa katika ofisi za ubalozi mdogo wake mjini Istanbul. Khashoggi alikuwa  pamoja na mchumba wake Hatice Cengiz ambae alikuwa akimsubiri nje ya ofisi.

Mchumba huyo wa Jamal alitoa taarifa kwa walinda usalama  baada ya kuona muda umekuwa mrefu tangu Jmal kuingia katika ubalozi, kulingana na uchunguzi kitendo hicho kilitia mashaka kuhusu hatama ya mwanahabari huyo.

Uchunguzi ulizungumzia kwa kina kuhusu  matukio tangu Jamal kuingia katika ubalozi huo mdogo wa Saudia mjini Istanbul.

Saudia ilionekana kuendelea kuwa na msimamo wake kuwa Jamal Khashoggi aliondoka katika ubalozi ila wakati Uturuki ilikuwa ikijiandaa kutoa taarifa kamili kuhusu hatma ya Khashoggi ndipo ilipobadili msimamo wake .

Uturuki ilikuwa imeahidi kutoa taarifa kamili kuhusu hatma ya Khashoggi kwa waandishi wa habari. Saudia  ilikiri kuwa Jamal Khashoggi aliuawa na kubadili msimamo wake.

Saudia ilishindwa kubadili msimamo  kuhusu taarifa ambazo tayari ilikuwa imekwishatoa. Rais wa Uturuki Recep Tayyıp Erdoğan alifahamisha katika  mkutano na wabunge wa chama tawala Uturuki kuwa  kifo na mauaji ya Jamal Khashoggi  yalikuwa yametaarishwa tayari.

Rais Erdoğan alizungumza kuhusu wasaudia 15  ambao walinngia Uturuki  na kuondoka  siku  hiyo hiyo  na kurejea Riyadh.

Shughuli za uchunguzi bado zinaendelea katika msitu wa Yelova kwa ushirikiano na wataalamu wa tiba. Taarifa zilizotolewa na Utıuruki hadi sasa haukana taarifa mbayo inaweza kuwa kinyume na  hatua ambayo imekwishafikiwa katika ucuhunguzi.

 Hali ya kushinkiza Saudia kuwajibika ipasavyo dhidi ya watu waliohusika na kifo cha mwanahabri huyo bado inaendelea. Muhammed Bin Salman  anazungumziwa pia kuwa katika sakata hilo.

Rais Erdoğan katika hotuba yake hajamtaja yeyote kwa jina kuhusika na kutio hilo bali inataraji  waliohusika kufikishwa mbela y vyombo vya sheria. Uwazi kuhusu sakata hilo.

Kulingana naataarifa zilizotolewa  Jamal Khashoggi huenda aliuawa kutokana na  tofauti na kukosoa uongozi wa Saudia kwa kuwa kulikuwa  na  majaribo kadhaa  ya kumzuia mwanahabari huyo  kuendelea kukosao mamlaka.

Jamal Khashoggi aliwahi kuombwa kurejea  bila ya kukenaishwa nchini Saudia baada ya kuondoka.

Uturuki na jumuiya ya kimataifa najaribu kushinikiza Saudia  kuwa na mikakati thabiti yenye  maslahi kimkakati  katika ukanda.

 Marekani imekuwa ikijaribu kumuweka kando Mohammed Bin Salman kuhusu sakata hilo. Baraza la seneti la Marekani limekaa kando na tukio hilo.

Kwa  mara ya kwanza rais wa Marekani Donald Trump alikuwa kamaueka kando mwanamfalme katika sakata hilo

Kuna ushahidi tosha kuhusu kifo cha Jamal Khashoggi  ambae unatarajiwa kuwekwa bayana. 

Rais wa Uturuki amezzungumzia  hatua ya kwanza ya ushahidi. Mohammed bin Salman ana utaofauti na mfame ambae alitajwa kuwa mtu mwenye utu na huenda Mohammed Bin Salman akapoteza ushawishi aliokuwa nao   mfalme ugenini na washirika wake.

Kutoka katika kitengo cha utafiti wa kisiasa, uchumi na jamii SETA, Can ACAUN maetufafanulia.Habari Zinazohusiana