Mashambulizi kabla ya uchaguzi India

Watu watano wamepoteza maisha yao katika mashambulizi ya bomu kwenye basi katika jimbo la Dantewada, Chhattisgarh, ambapo uchaguzi wa mitaa utafanyika wiki ijayo.

Mashambulizi kabla ya uchaguzi India

Watu watano wamepoteza maisha yao katika mashambulizi ya bomu kwenye basi katika jimbo la Dantewada, Chhattisgarh, ambapo uchaguzi wa mitaa utafanyika wiki ijayo.

Waasi hao wameshambulia basi lililokuwa limebeba raia na askari.

Afisa polisi, wananchi 4 na askari mmoja wameuawa katika shambulizi hilo.

 Askari wawili wamejeruhiwa.

Wiki mbili zilizopita eneo hilo lilishambuliwa na kusababisha vifo vya watu 7.Habari Zinazohusiana