Amir wa Qatar kufanya ziara nchini Uturuki

Tamim bin Hamad al Thani kufanya ziara nchini Uturuki

Amir wa Qatar kufanya ziara nchini Uturuki

Kulingana na  taarifa zizlizotolewa na kitengo kinachohusika na upashaji habari habari, amir wa Qatar anatarajiwa kufanya ziara nchini Uturuki.

Katika zşara yake hiyo amir wa Qatar atazungumza na rais wa Uturuki Recep Tayyıp Erdoğan.

Katika mazungumzo yao viongozi hao Ijumaa watajadili masuala tofauti ya kikanda na ushirikiano kati ya Uturuki na Qatar.Habari Zinazohusiana