Leo katika magazeti ya kimataifa 09.11.2018

Mashirika ya habari ya kimataifa yameandika haya, 09.11.2018

Leo katika magazeti ya kimataifa 09.11.2018

KUTOKA MASHIRIKA YA HABARI YA KIMATAIFA 09.11.2018

Shirika la habari la Reuters Uingereza: Rais Recep Teyyip Erdoğan amesema  watatetea hakı za Uturuki na za Jamhuri ya Uturuki ya Cyprus ya kaskazini. Ugiriki na Cyprus nazo zimesema hazitoruhusu Uturuki ijichukulie maamuzi peke yake.

Gazeti la Armstrong la Ujerumani: Uturuki  imepiga hatua kubwa katika sekta ya Uchumi. Wakati sarafu ya Uturuki ikipanda thamani ukilinganisha na dola ya Marekani, Nakisi nayo imekuwa ikipungua kwa kasi. Wiki hii benki ya dunia iliitangaza Uturuki kama moja ya nchi zilizopiga hatua kubwa katika kurahisisha mazingira ya uwekezaji. katika ripoti yake ya " Doing business report. 

İran, Shirika la habari la IRNA :  Waziri wa mambo ya nje Mevlüt Çavuşoğlu,a,ese,a Saudia haijazitoa dalili ilizokusanya kuhusiana na mauaji ya mwanahabari Jamal Khashoggi yaliyofanyika kwenye ubalozi mdogo wa nchi hiyo jijini Istanbul. 

MAREKANI, shirika la habari la Associated Press (AP) : Waziri wa mambo ya nje Mevlüt Çavuşoğlu, amesema vikwazo vya kiuchumi ambavyo Marekani imeiwekea Iran ni vya kipuuzi na hatari. 

 


Tagi: AP , IRNA , Reuters

Habari Zinazohusiana