Muafaka wa kusitisha mapigano Ukanda wa Gaza

Muafaka wa kusitisha mapigano ukanda wa Gaza wafikiwa

Muafaka wa kusitisha mapigano Ukanda wa Gaza

 

Makundi ya kipalestina yametangaza kusimamisha mapigano ukanda wa Gaza.

Katika taarifa ya maandishi iliyotolewa kuhusiana na oparesheni ya pamoja iliyojumuisha vikundi kama Hamas, kundi la kijeshi lijulikanalo kama Harakati za kijihadi za kiislamu,na vikundi vingine vya kimapinduzi, inasema katika upatanisho uliofanyika Misir baina yao na Izrael wamekublaiana kusitisha mapigano.

Taarifa hiyo inasema pia Izrael nayo imekubali kusitisha mapigano.

 Habari Zinazohusiana