Sala ya jeneza kwa ajili ya Jamal Khashoggi Istanbul

Jamal Khashoggi asaliwa sala ya jeneza mjini Istanbul Uturuki

Sala ya jeneza   kwa ajili ya Jamal Khashoggi Istanbul

Sala ya jeneza kwa ajili ya mwanahabari wa Saudia Jamal Khashoggi aliieuwa katika ubalozi mdogo wa Saudia mjini Istanbul.

Baada ya sala ya Ijumaa, waumini  katika msikiti wa Fatih wamediriki sala ya jeneza kwa ajili ya mwanahabari huyo  ambae aliuawa kinyama Oktoba 2 mjini Istanbul.

Wanaharakati  na wanasiasa wamediriki sala hiyo kwa  lengo la kutoa wito wa umoja na kukemea  mauaji.

Baada ya sala hiyo kumetolewa wito wa kuheshimisha sharia pindi wahusika wa kifo cha Khashoggi watabainika.

Ikumbukwe kuwa Saudia alikiri kuuawa kwa Jamal Khashoggi katika ofisi za ubalozi  wake mdogo Istanbul  baada ya Uturuki kutoa ushahidi na viashirio tangu kuonekana kwa mara ya mwisho Khashoggi akiwa hai  akiingia katika ubalozi huo.Habari Zinazohusiana