Wanafunzi wajiunga na maandamano Ufaransa
Wanafunzi wajiunga na maandamano yanayoendelea nchini Ufaransa

Wanafunzi wajiunga na maandamano yanayoendelea nchini Ufaransa
Shule zaripotiwa kufungwa nchini Ufaransa baada ya wanafunzi kujiunga na maandamano yanayoendela nchini Ufaransa kwa muda wa zaidi ya wiki mbili sasa.
Wanafunzi nchini humo wamejiunga katka maandamano wakipinga mfumo wa eleimu katika utawala rais Emmanuel Macron.
Wanafunzi 32 tayari wamekwishazuiliwa. Taarifa zinaarifu kuwa wanafunzi nao waliingia katika maandaman tangu Jumatatu katika miji tofauti nchini kote Ufaransa.
Wanafunzi 6 walikamatwa wakituhumiwa kushambulia magari ya raia na kuwarushia askari walinda usalama vilipuzi Stalingard mjini Bordeaux.
Makabiliano makali kati ya wanafunzi na polis iwa kutuliza ghasia yameripotiwa Henin- Beaumont.