Askari 14 wa Afghanistan wauawa katika shambulizi

Askari 14 wa Afghanistanai wauawa katika shambulizi la wanagambo wa kundi la Taliban

Askari 14 wa Afghanistan wauawa katika shambulizi

Wanajeshi 14 wa Afghanistanai wauawa katika shambulizi la wanagambo wa kundi la Taliban

Wanajeshi 14 wa jeshi la Afghanistan wauawa katika shambulizi  la wanamgambo wa kundi la Taliban  katika mkoa wa Herat. Wanamgambo  hao wamelenga  kituo kimaja na jeshi na kusababisha maafa hayo.

Msemaji wa  mkoa wa Herat Ceylani Farhad amesema kuwa ni askari 14 pekee ndio waliouawa katika tukio hilo lililtekelezwa na wanamgambo wa kundi la Taliban.

Licha ya mazungumzo ya kusitisha mapigano kati ya jeshi la serikali na wanamgambo wa Taliban,  wapiganaji wa Taliban wanaendelea  na mashambulizi yao wakilenga jeshi.

Farhad amethibitisha pia taarifa kwamba  kulikuwa na wanajeshi 20 waliokuwa wametekwa na wanamgambo wa Taliban.Habari Zinazohusiana