Ibahim Kalın azungumza na mjumbe maalumu wa Marekani kuhusu Syria

Msemaji wa rais wa Uturuki Ibrahim Kalın azungumza na mjumbe maalumu wa Marekani Jeffrey kuhusu Syria

Ibahim Kalın azungumza na mjumbe maalumu wa  Marekani kuhusu Syria

Msemaji wa rais wa Uturuki Ibrahim Kalın  azungumza na mjumbe maalumu  wa Marekani Jeffrey  kuhusu Syria

Msemaji wa rais wa Uturuki Ibrahim Kalın azungumza na  mjumbe maalumu wa Marekani James Jeffrey  Syria. Katika mazungumzo Ibrahim Kalın na James wamezungumza kuhusu  Manbij na maeneo mengine Syria kama  eneo la Efratia  Mashariki.

Marekani na  Uturuki zinashirikiana kwa ajili ya  amani  Manbij  kutokana na  harakati za mapambano dhidi ya ugaidi na wanagambo wa kundi la PKK.

Mazungumzo kati ya Kalın na Jeffrey Ijumaa yalikuwa yakihusu kuheshimishwa kwa  makubaliano ya Manbij nchini Syria.

Kulingana na  taarifa zilizotolewa na ofisi za msemaji wa rais wa Uturuki,   makubaliano ya Manbij yatawekwa katika vştendo kabla ya mwaka 2018 kumalizika.

Marekani na  Uturuki zimeafikiana  kuongeza juhudi ili kufikia  suluhu la  kisiasa katika mzozo wa Syria.

Uturuki kuhusu wanamgambo  wa kundi  la YPG ambalo ni tawi la kundi la kigaidi  la PKK imesema kuwa haitoruhusu hata mara moja magaidi kuweka  ngome zao  Kusini mwa Uturuki  katika mpaka na Syria.Habari Zinazohusiana