Kwa mara ya kwanza sauti kutoka sayari ya "Mars" yasikika

Kwa mara ya kwanza sauti ya sayari ya "Mars" imesikika duniani.

Kwa mara ya kwanza sauti kutoka sayari ya "Mars" yasikika

Kwa mara ya kwanza sauti ya sayari ya "Mars" imesikika duniani.

Kulingana na shirika la masuala ya angani duniani  la NASA sauti hiyo imerikodiwa na kifaa cha "Insight" kilichorushwa katika sayari hiyo na kutua wiki iliyopita.

NASA imeamua kusambaza sauti hiyo kwa wananchi ili kuonyesha maendeleo ya sayari hiyo ya "Mars".

Mwanasayansi wa NASA Bruce Benerdt amesema kuwa sauti hiyo imekuwa ni jambo la ajabu sana kwani hawakutegemea kuiskia.

Kifaa hicho kilichotua "Mars" mnamo 26 Novemba  kitafanya utafiti zaidi katika sayari hiyo 

Tagi: duniani , sauti , Mars

Habari Zinazohusiana