Ufaransa na Palestina zasaini mikataba katika nyanja tofauti

Waziri wa mambo yanje wa Palestina Riyad al Maliki na mwenzake wa Ufaransa wamesaini mikataba katika sekta tofauti

Ufaransa na Palestina zasaini mikataba katika nyanja tofauti

Waziri wa mambo yanje wa Palestina Riyad al Maliki na mwenzake wa Ufaransa wamesaini mikataba katika sekta tofauti

Mikataba hiyo imesainiwa wakati wa ziara ya Maliki mjini Paris alipokutana na waziri wa mambo ya nje wa Ufaransa Jean-Yves Le Drian.

Kwa mujibu wa habari mikataba  imesainiwa katika sekta ya elimu, fedha, serikali za mitaa, ulinzi wa kiraia, mazingira, maendeleo ya sekta binafsi na kilimo.

Le  Drian vilevile amesema kuwa Ufaransa inaunga mkono makubaliano ya amani kati ya Palestina na Israel na kwamba mji wa Yerusalemu unapashwa kuwa mji mkuu wa mataifa yote mawili.

 Habari Zinazohusiana