7 wapoteza maisha ajali ya ndege ya Tehran

Kwa uchache watu 7 wamepoteza maisha katika ajali ya ndege ya mizigo Boeing 707 iliyotokea karibu na Tehran

7 wapoteza maisha ajali ya ndege ya Tehran

 

Ngege ya mizigo Boeing-707 inayomilikiwa na nchi ya kIrgizistan imeanguka wakati ikitua kwenye uwanja wa ndege kaskazini magharibi mwa mji mkuu wa Iran Tehran, katika mji wa Kerej.

Watu 7 wapoteza maisha kutokana na ajali hiyo

Shirika la habari la wafanyakazi wa Iran (ISNA) limetoa taarifa kwamba ndege ya mizigo Boeing 707 iliyokuwa ikitoka mji wa Bishkek Kirgizstan kueleke Kerej, imeanguka wakti ikitua katika uwanja wa ndege wa Feth.

Kati ya watu 16 waliokuwamo katika ndege hiyo kwa uchache 7 wamepoteza maisha, 1 ameokolewa akiwa amejeruhiwa.

 Habari Zinazohusiana