Leo katika magazeti

Leo katika magazeti

Leo katika magazeti

Spiegel Online:  umoja wa Ulaya wajaribu kuikenaisha Uingereza kuhusu Brexit.  

DW sauti ya Ujerumani :  theluji bado yamiminika, mlima wa Alper wafunikwa kwa theluji.

Jarida la Bild : shabiki mkubwa wa Arsenal amtoleo wito Mesut Özil.

Mundo (Uhispnaia): Mtoto wa miaka miwili aangaku ndani ya kisima cha mita 100 anusurika Malagada. Uokozi waendelea.

El Pais: (Uhispania):  Watoto waliokataliwa Uhispania , watoto wanne wazungumzia madhila yao ya uhamiaji.

Prenas Latina (Cuba): Rais Micolas Maduro azungumza kuhusu kati na wananchi wake Venezuela.

Le Figaro : (Ufaransa) : « Barua ya wazi kutoka na rais Macron kwa raia wa Ufaransa"  mkataba mpya kwa taifa.

Libération : (Ufaransa) : Waziri wa ulinzi wa Ugiriki azungumza kuhusu kujşuzzulu kwake  na jina  mpya la Makedonia.

Le Monde (Ufaransa) :  Canada yakubali maombi ya hifadhi ya msichana wa kisaudia.

Al Hayat (Lebanon):  Pompeo atoa pongezi kwa uTuruki kuhusu mapambano dhidi ya ugaidi Syria.

Alsharq Alawsat: (Suadia ): Trump aitolea vitisho Uturuki 
  iwapo itashambulia  wakurdi.

Al Jazeera: (Qatar) Shukrani kwa al Tamim  kiwando cha ulinzi kwa ushirikiano na Qatar.

HABERUS WP: Mwaka 2017 Trump ameficha mazungumzo alifanya na Putin.

tovuti ya TürkRus : shirika la Netflix   lanunua  tamthilia kwa thamani ya dola milioni 1.

Uhuru Tanzania, wadhalilishaji  watangaziwa kibano kikali.
Uhuru, mamia wafurika kushuhudia uchomwaji wa sare za jeshi

Raia Mwema, wanasiasa, viongozi wa dini wabanwaHabari Zinazohusiana