Mjadala kuhusu hali inayoendelea  Mashariki ya Kati kati ya Pompeo na amir wa Qatar

Amir wa Qatar Sheikh Tamim bi Hamed al Thani azungumza na waziri wa mambo ya nje wa  Marekani

Mjadala kuhusu hali inayoendelea  Mashariki ya Kati kati ya Pompeo na amir wa Qatar


Amir wa Qatar Sheikh Tamim bi Hamed al Thani azungumza na waziri wa mambo ya nje wa  Marekani
Waziri wa mambo ya  nje wa Marekani Mike Pompeo azungumza na  amir wa Qatar Al Thani kuhusu hali inayoendelea katika ukanda wa Mashariki ya Kati  kwa ujumla.
Katika mazungumzo yao viongozi hao wamezungumza pia kuhusu  mbinu za kuimarisha ushirikiano  katika  sekta ya ulinzi, uchumi, biashara  na uchumi katika  ukanda.
Kwa upande wake amir wa Qatar ametoa shukrani kwa Marekani kwa  juhudi zake kuhusu  kituo cha jeshi la anga .

Masuala tofauti yamezungumzwa na viongozi hao  katika  karsi ya amir mjini Doha.
Katika mazungumzo yao kulijadiliwa  mizozo katika ukanda mzima ikiwa pamoja na  mzozo kati ya Israel na Palestina, Afghanistan, Syria  na mapambano dhidi ya ugaidi.
Ushirikiano katika sekta ya ulinzi kati ya Marekani na Qatar,  Marekani ina wanajeshi takriban  10 000 katika kambi ya  al-Udayd  katika umbali wa kilomita 30 Kusini-Magharibi mwa jiji la Doha.Habari Zinazohusiana