Ndege yaanguka mjini Tehran

Boeing-707 ndege ya mizigo imeanguka mjini Tehran nchini Iran

Ndege yaanguka mjini Tehran

 

Ndege moja ya mizigo imeanguka katika kijiji cha SefadeSht kilichopo mji mkuu wa Iran Tehran.

Kwa mujibu taarifa za shirika la habari la Iran ILNA, ndege ya mizigo aina ya Boeing-707 imeangulika karibu na mji wa Tehran.

Kwa mujibu wa taarifa za mwanzo kuhusiana na ndege hiyo, ni kwamba ndege hiyo ilikuwa imebeba watu 10.

 


Tagi: Tehran

Habari Zinazohusiana