Utawala wa watiti na mji wake mkuu Anatolia

Hattuşa : Mji mkuu wa utawala wa watiti katika ardhi ya Anatolia

Utawala wa watiti na mji wake mkuu Anatolia

Moja  ya makubaliano muhimu kusainiwa katika Historia ulimwenguni ni makubaliano yaliosainiwa kati ya watiti na Misri. Makubaliano hayo yanatambulika kama makubaliano ya Qadeş.

Utawala wa watiti ni moja wa sataarabu ambazo zilitawala katika ardhi ya Anatorlia kabala ya ujio wa nabii Issa.  Dola  ya watiti  alisambaratika  karne nyingi zilizopita ila mji wake mkuu  wa Hattusa bado ni kivutio  kwa wapenzi wa historia. Mji huo  ulikuwa ukitambulika kama mji muhimu katika historia na utawala wake ktika kipindi hicho.

 Kulingana na tafiti ambazo zilifanyika, utawala wa dola ya watiti  ulikuepo hadi katika miaka ya  1600 . Uthibitisho huo uliotolewa baada ya kugunduliwa kwa mabaki ya vyombo vya udogo ambavyo viliuwa vikitumiwa na  watiti katika  kipinddi hicho. Dola ya watiti ilikuwa taifa la kwanza  kuchukuwa mfumo wa demokrasia . Utawala huo ulikuwa ukiongozwa na  mfalme wa familia, bunge lake lilikuwa kitambulika kama Panku, wabunge ndio walikuwa na haki   ya kupitisha au kuzuia maamuzi ya mfalme.

Mabaki ya kihistoria  ambayo yanaonesha ukubwa wa ustaarabu huo wa watiti bado yanapatikana  katika mj wa Hattuşa, mji wa kale.

Hattuşa ni eneo ambalo linapatikana mpakani mwa mkoa wa Çorum katika ukanda wa Bahari Nyeusi nchini Uturuki. Eneo hilo kwas asa lintambulika kwama   jina la Boğazköy. Kunapatikana  majumba ya makumbusha ya kihistoria .

 Katika eneo la mji  lililochini kunapatikana pia  makazi ya raia na jumba kubwa na ibada ambalo ni jumba kubwa la ibada katika jiji la Hattuşa.

Katika mji ambao umetajwa kuwa katika eneo la juu 

 Kunapatika mahekalu tofautia . Kunapatikana sanamu la simba katika pende mbili za  mlango wa simba. Ufinyanzi wa sanamu  unaonesha ni kiasi gani  watiti walikuwa na  ujuzi katika sanaa hiyo ya ufinyanzi.

Hekalu ya Yazılılkaya katika  umbali wa kilomita 2  Kaskazini-Mashariki mwa Hattuşa linatambulika kama hekalu llilowazi katika eneo hilo. Katika kuta za hekalu hilo kunapatika  mawe yaliochongwa miungu  wa watiti.

 Iwapo utatembelea  Çarum basi huna budi kutembelea mji wa Hattuşa, usirudi nyumbani bila ya kutembelea jumba la makumbusho la  Boğazköy.

Utawala wa watiti mahasimu wake ilikuwa utawala wa Firuani na utawala wa Dola  ya Misri.

 


Tagi: watiti

Habari Zinazohusiana