Leo katika Historia

Leo katika Historia, Februari 5

Leo katika Historia

 

Februari 5 mwaka  1869 kulipatikana dhahabu iliokuwa na uzito wa gramu 78 ambayo ilipewa jina la « Welcome Stranger » ambayo ilikuwa na kiwango cha dhabau asilimia 91. Thahabu hiyo ilichimbwa  katika ardhi ya Victoria nchini Austarlia.

Februari 5 mwala 1924, ishara zilianza kuonekana  baada ya masaa machache  Greenwich kuanza.

 Februari 5 mwaka 1937, kuliongezwa katika katiba ya Uturuki vipenegele  katika katiba yake ya pili.  Mabadliko hayo tika katiba ya Uturuki   vinaweka wazi kuwa Uturuki ni taifa , utaifa, sekula isiokuwa na din ina kuwa na mabadiliko. Lugha ya taifa ilitangazwa kuwa kituruki na mji wake mkuu kutangazwa kuwa  Ankara.

 Februari 5 mwaka 1971, Apollo 14 ilitua mwezini.

 Februari 5 mwaka 1975, baraza la seneti la Marekani  lilianza kuweka katika vitendo vikwazo vilivyowekewa Uturuki  vya silaha. Mkataba huo wa vikwazo ulipitishwa Disemba 11 mwaka 1975. Sababu zilizoprlrkra vikwazo hivyo ni   Uturuki kuendesha operesheni Kupru Julaia na Agosti mwaka 1974.

Februari 5 mwaka 1994, bomu lililipuka katika soko la Markala katika vşta vya Boznia na kusababisha vifo vya watu 68 na  kuwajeruhi wengine zaidi ya 144.

 Februari 5 mwaka 1998, tovuti ya  utafiti Google  ilianzishwa na Larry Page na Sergey Brin ambao walikuwa wanafunzi wa Stanford.Habari Zinazohusiana