Pande kubwa la barafu lameguka kutoka barafu ya Tazmanıa

Pande kubwa la barafu limemeguka kutoka katıka barafu za Tazmania nchini New Zealand

Pande kubwa la barafu lameguka kutoka barafu ya Tazmanıa

Pande kubwa la barafu limemeguka kutoka katıka barafu za Tazmania nchini New Zealand.

Kwa mujibu wa habari zilizotolewa na BBC katıka hifadhi ya Aoraki mapande makubwa yaliyomeguka kutoka katika barafu yamesababisha zaidi ya robo ya ziwa kujaa. Kumeguka huko kwa barafu kulıanza miaka ya 1970 baada ya barafu hiyo kuanza kuyeyuka.

Mtafiti Charlie Hobbs anayefanya utafiti eneo hilo aliiambia redio New Zealand kwamba mapande ya barafu mithili ya nyumba ndefu ghorofa yanaonekana yakielea na kuzunguka katika eneo la ziwa.

Mwanasayansi wa masuala ya barafu wa New Zealand Heather Purdie alisema barafu ya Tazmania miaka ya hivi karibuni imekuwa ıkıpungua ukubwa kutokakana na kuongezeka kwa joto duniani

 Habari Zinazohusiana