Leo katika Historia

Leo katika Historia, Februri 10

Leo katika Historia

Februri 10 mwaka 1074 Divanu Lügati t Türk, kamsi ya kwanza  ya utamaduni wa kituruki iliandikwa  na   mwanazuoni Mahmud al-Kashgari.

Februari 10  mwaka 1763 Makubaliano ya mjini Paris  yalisitisha  vita vilivyokuwa vimedumu kwa muda wa miaka 7 kati ya Ufaransa, Uingereza na  Uhispania.  Makubaliano hayo yaliipa nguvu na milki zaidi Uingereza ulimwenguni na Ufaransa kupoteza ushawishi wake katika koloni zake.

 

Februari 10 mwaka 1918,  Sultan wa 345 katika utawala wa Othmania Abdülhamit alifariki dunia akiwa na umri wa miaka 76.

 

Februari 10 mwaka 1948, mtaarishaji maarufu kutoka Urusi kwa jina la Sergey Eisenstein aliaga dunia. Mtaarishaji huyo wa filamu  alianza kazi  hiyo na filamu yake ya kwanza ambayo ilifahamika kama "Mgomo" mwaka 1925.

 

Februari  10  mwaka 1969 mashua ya kivita ya Marekani ya kitengo cha 6  ilijielekeza mjini Istanbul.  Wanfunzi wa vyuo vikuu waliandamana.


Tagi: Historia

Habari Zinazohusiana