Moto wa misitu waiandama New Zealand

Maelfu ya watu wamehamishwa kwenye Kisiwa cha Kusini cha New Zealand kwa sababu ya moto wa msitu ulioenea kwa njia ya upepo.

Moto wa misitu waiandama New Zealand

Maelfu ya watu wamehamishwa kwenye Kisiwa cha Kusini cha New Zealand kwa sababu ya moto wa msitu ulioenea kwa njia ya upepo.

Kulingana na BBC, siku 6 zilizopita kwenye Kisiwa cha Kusini cha New Zealand, karibu na jiji la Nelson na Wakefield, moto katika msitu umesababisha watu zaidi ya3000 kuyahama makazi yao.

.Hali ya dharura imetangazwa katika kanda kutokana na athari inayosababishwa na kuendelea kuvuma kwa upepo mkali.

Helikopta 23 na ndege 2 zimepelekwa katika eneo la tyukio kujaribu kupambana na moto huo.

Moto huo wa msitu unachukuliwa kuwa moto mbaya zaidi kutokea katika historia ya nchi hiyo tangu 1955.Habari Zinazohusiana