Gabon na Mali waenda sare ya kutofungana katika michezo ya kutafuta tiketi ya kwenda Urusi 2018

Timu ya taifa ya Gabon bila nyota wake kama Aubameyang, Ndong, Lemina et Bouanga,iliweza kuonesha mchezo mzuri kipindi cha kwanza kabla ya mambo kuwageukia kipindi cha pili walipokuwa wakichuana na timu ya taifa ya Mali.

Hata kama timu zote mbili zilishapoteza matumaini ya kwenda kombe la dunia Urusi 2018, zilionesha umahiri wao na mchezo mzuri.

Mchezo baina wao uliisha kwa sare ya kutofungana , kwa hivyo Gabon ikamaliza ikiwa imeketi nafasi ya 3 wakiwa na pointi 6 huku Mali ikiburura mkia kwenda kundi C na pointi 4.

 Habari Zinazohusiana