Muogeleaji mlemavu afanya vizuri katika mashindano Mexico

Muogeleaji mlemavu kutoka Uturuki amejichukulia nafasi ya nne katika mashindano ya kuogelea ya walemavu yaliyofanyika nchini Mexico.

Muogeleaji mlemavu afanya vizuri katika mashindano Mexico

Muogeleaji mlemavu kutoka Uturuki amejichukulia nafasi ya nne katika mashindano ya kuogelea ya walemavu yaliyofanyika nchini Mexico.

Sumeyye Boyaci mwenye umri wa miaka 14 amshika nafasi nzuri katika mashindano hayo yaliaonza siku ya Jumamosi nchini Mexico.

Boyaci alimaliza mashindano hayo ndani ya sekunde 46.57.

Matokeo yameonyesha kuwa ilikuwa imebakia kidogo tu aweze kujipatia medali ya kuwa wa kwanza.

Mashindano  hayo yataendelea mpaka Desemba 8.

 Habari Zinazohusiana