Cenk Tosun asaini mkataba uliovunja rikodi na Everton

Cenk Tosun kutoka Uturuki asaini mkataba uliovunja rikodi na Everton

Cenk Tosun asaini mkataba uliovunja rikodi na Everton

Uhamisho wa Cenk Tosun kwa timu ya Uingereza inafahamika pia kwa uwezo wake katika dimba Everton umethibitishwa na sio ndoto tena.

Kiongozi wa klabu ya mjini Istanbul ya Beşiktaş  Fikret Orman amejielekeza mjini London  na kufanya mazungumzo kuhusu uhamisho wa nyota wake  kuelekea katika timu ya Everton. 

Uhamisho wa nyota huyo umevunja rikodi kwa thamani ya dola milioni 25 sarafu za Ulaya.

Mchezaji huyo kutoka Uturuki ni mchezaji wa kwanza katika historia kuhamishwa kwa kiwango cha pesa ambacho kimevunja rikodi ugenini.Habari Zinazohusiana