Kerem Kamal ajinyakulia medali ya dhahabu katika mashindano ya Ulaya

Mwanamieleka wa Uturuki Kerem Kamal ajinyakulia medali ya dhahabu katika mashindano ya Ulaya

Kerem Kamal ajinyakulia medali ya dhahabu katika mashindano ya Ulaya

Mwanamieleka wa Uturuki Kerem Kamal ajinyakulia medali ya dhahabu katika mashindano ya Ulaya .

Mwanamieleka wa Uturuki Kerem Kamal amejinyakulia medali ya dhahabu  katika mashindano ya Ulaya ya mieleka. 

Mwanamieleka kutoka katika timu ya Akhısar Belediyespor amembwaga  mwanamieleka mashuhuru kutoka nchini  Bulgaria  kwa 7 kwa 4, kutoka Azerbaijani kwa 5 kwa 2, Rumania 9 kwa 1 na katika fainali na mrusi kwa 5 kwa 3.

Ushindi huo ameupata baada ya kuwabwaga wanamieleka waliokuwa wakishindana katika  kinyang anyiro hicho cha Ulaya U23.

Mataifa 50  yameshiriki katika michuano hiyo.

 

 Habari Zinazohusiana