Mwanamke ataueliwa kuwa waziri wa michezo na vijana nchini Iran

Mwanamke ataueliwa kuwa waziri wa michezo na vijana nchini Iran

Mwanamke ataueliwa kuwa waziri wa michezo na vijana nchini Iran

Kwa mara kwanza mwanamke ameteuliwa kuwa waziri wa vijana na michezo nchini Iran. 
Kwa mara ya kwanza katika historia yake, Iran yamteuwa mwanamke wa kwanza kuwa waziri wa vijana na michezo katika serikali yake.

Taarifa ziliztolewa na shirika la habari la IRNA nchini Iran zimefahamisha kuwa  Meryem Bahshi ameteuliwa kuwa waziri wa vijana na michezo.  

Mwanamke huyo amepewa wadhifa wa  kusimamia  uongozi wa wizara ya michezo nchini Iran

Tagi: IRNA , Iran , michezo

Habari Zinazohusiana