Ufaransa yailaza Ubelgiji na kuingia katika fainali kombe la dunia la FIFA 2018

Timu ya Ufaransa yailaza timu ya Ubelgiji kwa bao moja kwa sifuri na kuingia katika fainali kombe la dunia la FIFA 2018 nchini Urusi

Ufaransa yailaza Ubelgiji na kuingia katika fainali kombe la dunia la FIFA 2018

Ufaransa yaichapa Ubelgiji bao moja kwa sifuri katika mechi ya nusu fainali ya kugombea tikiti ya kuingia katika fainali ya kombe la dunia la FIFA la mwaka 2018 nchini Urusi.

Bao pekee la Ufaransa limefungwa  na Samuel Umtiti katika dakika ya 51 ya mchezo.

Fainali itachezwa Jumapili.Habari Zinazohusiana