Croatia yaingia katika fainali baada ya kuizaba Uingereza mabao mawili kwa moja

Timu ya Croatia imeilaza timu ya Uingereza kwa kuichapa mabao mawili kwa moja

Croatia yaingia katika fainali baada ya kuizaba Uingereza mabao mawili kwa moja

Timu ya Croatia yaichapa timu ya Uingereza na kujipatia tikiti yake ya kuingia katika fainali kombe la dunia la FIFA mwaka 2018.

Croatia itachuana na Ufaransa   Jumapili Luzhniki Stadium.

Mechi hiyo ştaoneshwa moja kwa moja katika kituo cha runinga cha TRT 1 cha Uturuki.

 Habari Zinazohusiana