Mwanandondi wa kiislamu kutoka Urusi ajibu kejeli dhidi ya uislamu kwa kipigo
Khabib Nurmagomedov, mwanandondi wa kimataifa kutoka Urusi ajibu kejeli dhidi ya uislamu kwa kipigo
Mwanandondi wa kimataifa kutoka Urusi Khabib Nurmagomedov amejibu mataifa yaliojaa chuki na kejeli dhidi ya uislamu kwa kipigo kwa kumchağpa mwanandondi mwenza McGregor.
Khabib amemchapa McGregor katika pambano ambalo lilikuwa likisubiriwa kwa hamu kubwa na wapenzi ndondi.
Khabib amemchapa kwanza mwanandondi mwenza kwa kumtoa bila ya kujitambua na baadae kumvamia kiongozi wake alikuwa akiendelea kumkebehi.
Khabib alijawa na hasira baada ya kuendelea kusikia matamsh ya kashfa ba kejeli dhidi ya uislamu.
Tukio hilo bambino hilo limegonga vichwa vya habari ulimwenguni .
Mwanandondi Khabib Nurmagomedov alipambana na mwanandondi mwenza kutoka Eire .
McGregor wakati wa pambano alikuwa akitoa matamshi ya kashfa dhidi ya uislamu na kumtaja Khabib kuwa gaidi.
Khabib alijibu matamshi hayo kwa kumchapa na kuibuka mshindi katika mzunguko wa nne pekee.
Wakati huo huo kiongozi msimamizi wa McGregor alikuwa akiendelea kutoka matamshi ya kashfa jambo ambalo limempelekea Khabib kuruka uga na kuanza kumpiga kabla ya kuzuiliwa na walinda usalama.
Khabib alizaliwa mwaka 1988.