Putin ampongeza Khabib Nurmagomedov

Pongezi kwa mwanamasumbi Muislam anayetokea Dagistan Urusi Khabib Nurmagomedov zaedelea kuminika.

Putin ampongeza Khabib Nurmagomedov

Pongezi kwa mwanamasumbwi Muislam anayetokea nchini Dagistan Urusi Khabib Nurmagomedov zimeendelea kuminika.

Katika pambano la mieleka ijulikanayo kama MMA ambalo lilfanyika Las Vegas, Nurmagomedov alimtwanga  Muilanda  Mc Gregor katika raundi ya nne kwa nokaut kisha kwenda kuishambulia timu  ya Muilanda huyu ambao walikuwa wakimtukana, Mwanzoni Muilanda huyu alikuwa akitukana Uislamu kisha Kumtukania nchi yake na familia yake kitu kilicho mtia hasira Nurmagomedov.

Mwana mieleka huyu wa MMA katika pambano la uzito mdogo alifanikiwa kutetea ubingwa wake, na sasa amekutana na rais wa Urusi Vladimir Putin.

Mkutano huo ambao ulifanyika Ulyanovsk, Putin alimpongeza Nurmagomedov kwa ushindi huo

Hata kama Habib alijiunga kibinafsi katika pambano hilo, Putin alimkumbusha kwamba yeye Habib ni Mrusi na yeye mwenyewe Putin alikuwa akilifuatilia pambano hilo kwa ukaribu.

Pamoja na yote yaliyotokea katika pambano hilo lakini Habib alishinda pambano hilo kwa heshima.

Rais huyo wa taifa la Uturuki alisema michezo ni kitu ambachoinabidi kijenge urafiki, wanamichezo washindane kwa heshima na uangalifu kuweza kujenga mahusiano mazuri ya kiutu.

Kama ikitokea watu kutoka nje wanaingilia mapambano yako sisi hatutakaa kimya kwa umoja wetu tutapinga, lakini kilichobora ni kazi yako kutotupeleka huko

Nurmagomedov alitaka watu wasiangalie tu kilichotokea nje ya ulingo bali waangalie pia pambano zima jinsi lilivyokuwa.

"Kabla mechi mtu ambaye alikuwa anantafuta ugomvi kwa kunitukana katukana nchi yangu katukana familia yangu mimi nimekaa kimya tu, Ila sasa hivi kila anazungumzia kuhusiana na mimi kurukia nje ya ulingo, Ingawa mimi nilipambana kwa heshima." alisema HabibHabari Zinazohusiana