Timu ya Uturuki kuchuana na timu ya taifa ya Urusi mechi ya 3 UEFA

Timu ya taifa ya Uturuki kuchuana  na timu ya taifa ya Urusi katika mechi ya 3 ya ligi ya UEFA

Timu ya Uturuki kuchuana na timu ya taifa ya Urusi mechi ya 3 UEFA

Timu ya kabumbu ya Uturuki inachuana na timu ya Urusi usiku wa Jumapili  katika mechi ya 3 ya ligi ya UEFA.

Kipenga cha mechi hiyo kinasubiri leo majira ya  ya saa moja majira ya Uturuki katika uwanja wa Fisht Sochi nchini Urusi.

Muamuzi wa mecchi  ni Pawel Raczkowski  kutoka Poland.

Mechi hiyo itaoneshwa moja kwa moja kupitia runinga za TRT 1. 

Urusi inashika nafasi ya kwanza  katika kundi 4  ikifuatiwa na Uturuki ambayo ina alama 3.

 


Tagi: Uturuki , TRT1 , UEFA

Habari Zinazohusiana