Mchezaji kabumbu kutoka Nigeria afariki dimbani Uturuki

Ebenezer Mawoyeka, Mchezaji kabumbu kutoka Nigeria afariki dimbani Uturuki

Mchezaji kabumbu kutoka Nigeria afariki dimbani Uturuki

Mchezaji kabumbu kutoka nchini Nigeria  aliekuwa akichezea timu ya  Saraköyspor ya Denizli nchini Uturuki amefariki kwa mshtuko wa moyo.

Ebenezer Mawoyeka mwenye umri wa miaka 23 amefariki akiwa uwanjani.

Ubalozi wa Uturuki nchini Nigeria umetoa salamu za rambi rambi kwa familia ya mchazaji huyo.

 Habari Zinazohusiana