Chelsea yapokea kipigo cha mbwa koko toka kwa Manchester City

Chelsea yakubali kichapo cha goli 6-0 toka kwa Manchester City

2019-02-10T160508Z_1318377482_RC15D942D810_RTRMADP_3_SOCCER-ENGLAND-MCI-CHE.JPG
2019-02-10T180235Z_655637504_RC18CEBA0050_RTRMADP_3_SOCCER-ENGLAND-MCI-CHE.JPG
2019-02-10T175745Z_614624566_RC192AC26A80_RTRMADP_3_SOCCER-ENGLAND-MCI-CHE.JPG
2019-02-10T163900Z_1974059093_RC1869F7BFF0_RTRMADP_3_SOCCER-ENGLAND-MCI-CHE.JPG
2019-02-10T162043Z_1265716838_RC1249E05FD0_RTRMADP_3_SOCCER-ENGLAND-MCI-CHE.JPG

 

Ligi kuu yaUingereza kwa michezo mbalimbali, mmojawapo ukiwa kati ya Manchester City na Chelsea. Ambapo City walipata ushindi wa kishindo wa goli 6 - 0.

Mtanange huo ulipigwa uwanja wa Etihad, City wakiwakarabisha Chelsea.

Raheem Starling aliipatia City magoli 2 dk 4 na dk 80. Sergio Agueroalifanikiwa kutikisa nyavu mara 3, dk 13 kwa mkwaju wa penati na mengine dk 19 na dk 56. Ilkay  Gündoğan naye aliindikia goli City dk 25.

Kwa matokeo hayoCity wamefikisha alama 65 na hivyo kuongoza msimamo wa ligi wakiwa wana michezo zaidi ya Liverpool.

 Habari Zinazohusiana