Muziki wa dunia

Al Di Meola ni mwanamuziki anaetambulika kwa kucharaza ghala za muziki kwa miondoko ya Jazz

Muziki wa dunia

Tunamzungumzia  mwanamuziki ambae pia anapendwa nchini Uturuki anaetambulika kwa miondoko yake Jazz. Mwanamuziki huyo si mwingine na Al Di Meola. Al Di Meola ni mwanamuziki anaetambulika kwa kucharaza ghala za muziki kwa miondoko ya Jazz.

Al Di Meola alizaliwa mwaka 1954 nchini Marekani akiwa na asili ya Italia.

Katika kipindi chetu tuburudike na wimbo wake ambao alishirikiana na Paco Del Lucia anaokwenda kwa jina la

Katika miaka 30 ya nyuma mwanamzuki huyo alikuwa miongoni mwa wanamuziki waliofaulu kataika sanaa hiyo.

Mwanamuziki huyo alikuwa pia akitembelea Uturuki na kufanya maonesho tofauti. Mjini Ankara pia  alipokelewa kwa shangwe katika  klabu ya Jazz.

Alipowasili ulionesha mapenzi yake kwa mapishi ya Uturuki na kuomba apelekwe katika mgahawa ili aweze kuapata chakula.

Alifananisha chakula alichotomia Bursa aina ya eskender na kuwapongeza wapishi. Katika albam yake ambayo ilipewa jina la Race with Devil on Turkish

Highway alizungumzi kuhusu jina la utani wanaopewa waturuki la shetani kwa kuendesha kwa mwendo kasi. Kwenye albam hiyo alizungumzi pia kuhusu dereva taxi aliemtembeza katika harakati zake Bursa ambae alikuwa haelewi kiingereza.

 Habari Zinazohusiana