Muziki wa Dunia

Muziki wa Dunia, Leonard Cohen

Muziki wa Dunia

Leo tutamzungumzia mwanamuziki kutoka Canada ambae anatambulika kwa jina la Leonard Cohen.

Mwanamuziki huyo alizaliwa mwaka 1934 mjini Quebec.

Leonard Cohen alikuwa mtaarishaji na mtunzi mahiri wa mashahiri.

Alikuwa pia miongoni mwa wanamuziki bora na watunzi mashuhuri wa mashahiri.

Katika miaka ya 70 mwanamuziki huyo na mtunzi wa mashahiri  alifahamika mno kwa kazi zake.

Akizungumzia upweke katika  ushirikiano katika jamii alifahamisha kuwa  ni suala tete baina ya binadamu.

Mwanamuziki huyo aliwavutia wanamuziki wengine. Ameacha kazi zake nyingi ambazo bado zinawavutia wengi.

Aliweza pia kujinyakulia tuzo katika nchi yake.

Leonard alikuwa pia akihusisha kazi zake na siasa na utamaduni kwa njia ya utani.Habari Zinazohusiana