Mfalme wa Rock nchini Ufaransa Johnny Hallyday afariki dunia

Nyota wa muziki wa Rock Johnny Hallyday aaga dunia akiwa na umri wa miaka 74

Mfalme wa Rock nchini Ufaransa Johnny Hallyday afariki dunia

 

Nyota wa muziki wa Rock nchini Ufaransa Johnny Hallyday amefariki  akiwa na umri wa miaka 74.

Kwa jina halisi anatambulika kwa jina Jean-Philippe Smet  alivutiwa na muziki baada ya kumuona nyota wa muziki wa Marekani Elvis Presley  mwaka 1957.

Johnny Hallyday alikuwa akisumbuliwa na saratani ya mapafu kwa muda mrefu.

 Habari Zinazohusiana