Kahawa ya Uturuki ulimwenguni kote

Kahawa ya Uturuki ulimwenguni kote hadi China

Kahawa ya Uturuki ulimwenguni kote

Mgahawa wa kahawa wa Uturuki unaotambulika kwa jina la  « Kahve Dunyasi » iikiwa na maana kahawa ya dunia ulioanzishwa mwaka 2004.

Baada ya kujielekeza nchini Marekanis asa mgahawa huo unataraji kufungua nchini China.

Kaan Altınkiliç amefahamisha kuwa  mgahawa unataraji kufunguwa ofisi zake kwa wapenzi wa kahawa nchini China.

Zaidi ya migahawa 100 inatarajiwa kufunguliwa nchini China ifikapo mwaka 2018. Kwasasa ni wakati wa kutangaza kahawa ya Uturuki ulimwenguni.


Tagi: kahawa , Uturuki

Habari Zinazohusiana