Udugu wa kimataifa na wiki ya kirafiki Sudani

Wiki ya kirafiki na na udugu wa kimataifa  ilioandaliwa nchini Sudani imemalizika kwa matembezi Nil

Udugu wa kimataifa na wiki ya kirafiki Sudani

Wiki ya kirafiki na udugu wa kşmataifa ilioandaliwa nchini Suadani imemalizika kwa matembezi katika  kitongoji cha Nil.

 Abdurrahman Es-Sadık El-Mehd , msaidi katika ofisi  ya rais ameshiriki kataika msafara huo wa mshikamano.
Zaidi ya wawakilishi 5000 kutoka katika mataifa  86 wameshiriki katika maonesho hayo  wakionesha tamaduni wanazowakilisha
 Habari Zinazohusiana