Mwezi mtukufu wa Ramadhani waanza Jumatano

Mwezi mtukufu wa Ramadhani , mwezi wa rehma na mafungo waanza Jumatano

Mwezi mtukufu wa Ramadhani waanza Jumatano

Mwezi mtukufu wa Rmadhani , mwezi mtukufu na mwezi wenye rehama waanza  Jumatano kwa waislamu .  Mwezi wa Rmadhani ni moja ya miezi mitukufu katika kalinda ya kiislamu ambao husubiri kwa hamu kubwa na waumni wote wa kiislamu ulimwenguni.

Nchini Uturuki mwezi mtukufu wa Ramadhani umeanza kwa ibada usiku wa Jumanne kuamkia Jumatano ikiwa ndio siku yake ya kwanza. Mwezi wa Ramdhani ni mmoja kati ya miezi mitatu mştakatifu katika kalenda ya kiislamu.

Mwezi wa Ramdhani ni mwezi wa kuzidisha upendo, kutoa sadaka na kuwakumbuka wote wale wenye kuhitaji msaada.

Siku kuu ya kumalizi mwezi wa Ramdhani itaanza Juni 15  baada ya kumalizika kwa siku 30 za ibada.

 

 Habari Zinazohusiana