Maisha ya "Bob Marley" yatengenezewa filamu

Maisha ya aliyekuwa mwanamuziki mashuhuri "Bob Marley" yanatarajia kuonyeswa kwa njia ya filamu.

Maisha ya "Bob Marley" yatengenezewa filamu

Maisha ya aliyekuwa mwanamuziki mashuhuri "Bob Marley" yanatarajia kuonyeswa kwa njia ya filamu.

Filamu hiyo inatayarshwa na mtoto wa kiume wa Bob Marley,anaejulikana kama Ziggy Marley.

Hapo awali Ziggy Marley alitengeneza waraka kuhusu baba yake na sasa ameamua kutengeneza filamu.

Maisha ya kawaida na yale ya muziki ya Bob Marley yatahadithiwa katika filamu hiyo.

Ziggy Marley ni mwana wa kwanza wa Bob Marley.Habari Zinazohusiana